Zawadi murua kwa Nyani Ngabu na Steve Dii

Kudo man.....vitu VI.etulia mbaya!
Mama1 mupya ni balaaaa! Sio underage alipoolewa kweli?
 
hii ni zawadi kwa Kiranga na Gaijin:



Gaijin macho kayaelekeza 1142... Kiranga yeye kafumba macho anapata kitu toka kwa Sugu
 
Nyie wasee mko wapi? Mmekuwa kimya hadi inatisha?!
Hii ni zawadi yenu toka kwenye mini-fiesta inayoendelea Tanzania kote:



Steve Dii naona macho yako umeelekeza 1100. NN nakuona macho yako yakiwa 1300 and 1100 and 1500
nawaona bunch of loosers,,,,
 
ha ha ha,

Ngoja nimtafutie nyingine toka maktaba:



MS kafumbua macho, ila ameyaelekeza 0500 ..... jaza mwenyewe
haya ndiyo mambo yatakayokua tar 31 october 2010......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…