Zawadi ni PESA, maua peleka kwa NYUKI

Zawadi ni PESA, maua peleka kwa NYUKI

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Happy valentine watu wote. Ile itikadi ya kuwapelekea maua pekee bila zawadi imepitwa na wakati. Wanawake wa Tanzania kitu pekee kinachowafaa ni hela, Maua hayatatui shida zao
 
Sio wote mimi wangu nikimpatia ua tu anaridhika. Waliotongozewaga pesa pindi wanaingia kwenye mapenzi na kubanduliwa ndio wanapenda pesa
 
Maua matupu?maua huambatana na pesa
 
jina gumu hivo liwe la kike?
 
images (33).jpeg


Ukipeleka kwa style hii.......🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom