BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Feb 14, 2021 #1 Happy valentine watu wote. Ile itikadi ya kuwapelekea maua pekee bila zawadi imepitwa na wakati. Wanawake wa Tanzania kitu pekee kinachowafaa ni hela, Maua hayatatui shida zao
Happy valentine watu wote. Ile itikadi ya kuwapelekea maua pekee bila zawadi imepitwa na wakati. Wanawake wa Tanzania kitu pekee kinachowafaa ni hela, Maua hayatatui shida zao
E EllySkyWilly JF-Expert Member Joined Aug 28, 2020 Posts 2,204 Reaction score 2,085 Feb 14, 2021 #2 Sio wote mimi wangu nikimpatia ua tu anaridhika. Waliotongozewaga pesa pindi wanaingia kwenye mapenzi na kubanduliwa ndio wanapenda pesa
Sio wote mimi wangu nikimpatia ua tu anaridhika. Waliotongozewaga pesa pindi wanaingia kwenye mapenzi na kubanduliwa ndio wanapenda pesa
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Feb 14, 2021 Thread starter #3 Maua matupu?maua huambatana na pesa
Whackiest JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 1,109 Reaction score 1,319 Feb 14, 2021 #4 Nyambafu ww
johnhance JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 1,769 Reaction score 2,131 Feb 14, 2021 #5 wewe ni KE ?
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Feb 14, 2021 Thread starter #6 jina gumu hivo liwe la kike?
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,893 Reaction score 20,089 Feb 14, 2021 #7 Kwani ina TV ndani
K kamba0719 JF-Expert Member Joined Feb 7, 2018 Posts 804 Reaction score 1,906 Feb 14, 2021 #8 Ukipeleka kwa style hii.......🤣🤣🤣