Hata kkoo mbona vipogoNenda mnazi mmoja pale kituo cha mwisho cha daladala nadhani, kwa pembeni kuna frame zinauza vitenge, vikoi, khanga, nguo ambazo ziko tayari (za kudariziwa na zinginezo) tena pale wanauza jumla kwahiyo utapata kizuri kwa bei nafuu
Hiki kizuri sana ,, vina hadhii hakika vinakufaa.Akina dada mtakuwa na majibu sawia. Nataka kumpa mtu zawad ya kitenge kizur na cha class A. Akashone nguo. Sijui nakitambuaje au nakipataje kitenge kizur sana dar. Sina mgogoro wa bei bali utambuz wa hadhi. Na km unajua mishono ya kisasa (kwa mwanamke mwenye tako) nirushie ka picha. Thanks in advance.
yah hata mimim nataka vya bei hiyo
Umenisaidia na mimiNenda mnazi mmoja pale kituo cha mwisho cha daladala nadhani, kwa pembeni kuna frame zinauza vitenge, vikoi, khanga, nguo ambazo ziko tayari (za kudariziwa na zinginezo) tena pale wanauza jumla kwahiyo utapata kizuri kwa bei nafuu