Zawadi nzuri ya kitenge naitambuaje

Zawadi nzuri ya kitenge naitambuaje

Akina dada mtakuwa na majibu sawia. Nataka kumpa mtu zawad ya kitenge kizur na cha class A. Akashone nguo. Sijui nakitambuaje au nakipataje kitenge kizur sana dar. Sina mgogoro wa bei bali utambuz wa hadhi. Na km unajua mishono ya kisasa (kwa mwanamke mwenye tako) nirushie ka picha. Thanks in advance.
Umesahau kuweka rangi ya mnunuliwaji. Sio kila rangi ya kitenge ni kwa ajili ya kila mwanamke.
 
Back
Top Bottom