Zawadi please!

Zawadi please!

Elia

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
3,425
Reaction score
568
Ndugu wana jf, ni zawadi gani nzuri ya kumpa mpenzi wako au mume/mke wako anaposafiri safari ya muda mrefu kidogo, kuanzia mwezi mmoja mpaka sita? Au ni zawadi gani nzuri upewe wewe unapo safari safari ya aina hiyo?
 
mpe paketi ya condom. ukishindwa yeye atakuletea zawadi mbaya sana ya ukimwi. lol... just kidding.
Mpe sim ya mkononi aweze kuwasiliana na atakao waacha, au mpe visa card na hela kidogo ndani aweze kufanya shopping siku za kwanza atakapo kua huko.
hakikisha siku ya mwisho kua nae unampeleka out na she/he has great time in your company. cha mwisho kabisa ni kumpa uhakika wa kwamba utakua faithful kipindi chote cha safari hivo asiwe na wasi wasi kabisa kuhusu hicho.
 
Thanks RR, hicho cha mwisho ni cha kukipa umuhimu wa juu zaidi
 
mpe biblia kama ngao yake popote aendapo kabla ya kufanya mamb yake mengine amkumbuke mungu nawe pia,then zawadi nyingine tunza heshima yako na yake,uaminifu na mapenzi yako kwake yasipungue bali yaongezeke.
if possible mtengenezee saa yenye picha yako ndani ili kila aangaliapo saa akuone wew
 
Hapo nadhani kama elia hajakuelewa atakuwa kichwa kigumu! ila hilo la saa! copy and paste
 
Elia nimefurahi ina maana umerudi kwenye mstari na
yule mke wa mtu umemtupia mbali (I hope...)

Appreciation ya zawadi toka kwa wapenzi ni tofauti...
wengine huridhika na chochote maadam umekumbuka
wengine wako Greedy anataka mpaka gari au BB..

Ni vizuri kujua yupo kundi gani ili ujue type ya kumpatia afurahi...
 
Yes, dadayangu nipo kwenye line, na my-tobe wangu.
 
Mpe picha yako, then kuwa mwaminifu mpaka siku atakaporudi. Zawadi tosha.
 
ndugu wana jf, ni zawadi gani nzuri ya kumpa mpenzi wako au mume/mke wako anaposafiri safari ya muda mrefu kidogo, kuanzia mwezi mmoja mpaka sita? Au ni zawadi gani nzuri upewe wewe unapo safari safari ya aina hiyo?

bible only!!
 
mwandikie shairi zuri then weka kwenye diary yake akifika huko na kufungua na kukuta hilo shairi mwenyewe atashaaa
 
Back
Top Bottom