Kwa wale wanaoenda kumuona mama wa mtoto (especially mtoto wake wa kwanza), kama utahitaji idea ya zawadi me nnazo tatu hapa, za muhimu sana.
1. Nursing Pillow:
View attachment 3577625
Huu ni mto wa kunyonyeshea, anaanza kuutumia tokea day 1, aisee utamsaidia sana.
2. Kagodoro kenye neti yake, haina hajanya maelezo.
View attachment 3577626Ya muhimu sana.
3. Pampers:
View attachment 3577627Namba 1 ukiongezew na non alcoholic wipers. Hizi ata ukimpelekea bunder kubwa 3 sio mbaya, kwa siku mtoto anatumia hadi pampers 10 kwahiyo bunda la pampers 60 ni chini ya siku 4.
Hapa chini, zawadi au vitu ambavyo sio lazima kabisa kuingia gharama, ni familia za vishua tu ndio wananunua
Kitanda cha mtoto:
View attachment 3577628
Utakuta laki 4 hadi 6, wengi hawavitumii. Mtoto anapenda kulala na mama yake sana siku za mwanzo. Na inashauriwa ivo.
Baby Swing:
View attachment 3577629
Zipo za manual 150k hadi 600k, sio necessary kabisa. Mtoto akifikisha miezi 3 tu anajua hii mikono ya mama inanitingisha au hii AI.
Nguo Nguo:
Madogo wanakua kwa speed sana. Utakuta nguo zishamruka kabla hajavaa. Badala ya kumjaza nguo bora umnunulie diapers.
Wewe una zipi za