Zawadi ya andazi

Inategemea andazi limewekwa nini. Zawadi za vyakula ni kheri aliyekupa mle wote. Lakini akupe alafu yeye aondoke, kuna mashaka hapo...
 
Ni zamani gani hiyo iliyokuwa na m-pesa?
 
Usingepokea akyanan Kesho yake Jamaa angetangaza ndoa fasta😀
embu acha utani mm nisipokee hela hiyo? Wakati nimeifanyia kazi? Unajua nilivyoungua nachoma kiazi hicho? Ndoa zipo hela kwanza. Aku nikilkipata danga jingine mimi nae
 
Real Professhno.... 1000Likes
 
Tena hiyo ni kubwa sana kwa mpenzi, huwezi fananisha kama na kumnunulia mshikaji wako.
 
juzi tu 2013. Hivi vitu mabinti tunafanyaga maana tunajua hela yenu inawauma wahiyo inabidi tutumie akiri kuwakamata
....koh koh koh..hilo danga lenye hadi PS afu linakamatwa na kademu kenye "akiri" kama kiazi ulichochoma na lenyewe ni zwazwa tu!
 
MDADA ALIPEWA ZAWADI KWENYE BOX NA MPENZI WAKE SIKU YA BDAY YAKE MBELE YA WATU KIBAO...KUIFUNGUA AKAKUTA SLESI ZA MKATE ZIMEPAKWA BLUEBAND.KWA HASIRA NA MITUSI MIZITO AKAMRUSHIA USONI NA KUMCHAFUA YULE MPENZI WAKE WA SIKU NYINGI,KAMA HAITOSHI AKAANZA KUMSUKUMA "TOKA KWENYE SHEREHE YANGU...WE NLITARAJIA UTAKUJA NA ZAWADI NZURI ZAIDI YA RAFIKI ZANGU UNANLETEA MKATE...MPU...VU MKUBWA WE USINJUE TENA"
YULE KAKA AKAMWAMBIA ASANTE AKAOKOTA ILE MIKATE NA KUNA SLESI MBILI ZILIZOUNGANISHWA NDANI YAKE KUNA FUNGUO YA GARI JIPYAA ZAWADI YA BIRTHDAY.
BINTI ALITAMBAA KWA MAGOTI TOKA ALIPOKAA KUMFUATA KIJANA HUKU AKIOMBA MSAMAHA BUT ILIKUWA TOO LATE..KIJANA AKASEPA KWANI UKISHAJUA UMEPENDEWA PESA HAKUNA NAMNA!

NAKAPENDA HAKA KASTORY
 
Kiazi!!

Kiazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…