Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtuonge jets na islands sasa, mbadilikehahaha wanawake wanahongwa magari,nyumba nk...bado hivi ni vitu vidogo? hahaa hatareeeeee
Ni zamani gani hiyo iliyokuwa na m-pesa?Zamaniiii nilichoma kiazi kitamu nikaweka kwenye bahasha ya kaki ile ndogo nikadumbukiza kwenye bahasha nyingine. Nikaweka kitabu ndani kupoteza ushahid mtu asijue kuna nn huyooo ofisi ya danga fulani. Nikafika reception nikampa ps mzigo huu wa bosi wako mpelekee kabeba namuona kapeleka ofisin namuona alivyorudi kanambia mzigo umefika huyoo nikarudi zangu home loh mapenzi bana nikimulove mtu kweli namfanyia vituko vya kila aina. Basi huyo njinga alifurahi aina mfano. Luckyline mtego wangu wa noti ukakamilika baada ya siku mbili. Sms ikaingia " luckyline yo the best woman" ahaaaa ikafata sms ya mpesa.nikasema athante yethu.
embu acha utani mm nisipokee hela hiyo? Wakati nimeifanyia kazi? Unajua nilivyoungua nachoma kiazi hicho? Ndoa zipo hela kwanza. Aku nikilkipata danga jingine mimi naeUsingepokea akyanan Kesho yake Jamaa angetangaza ndoa fasta😀
Real Professhno.... 1000LikesZamaniiii nilichoma kiazi kitamu nikaweka kwenye bahasha ya kaki ile ndogo nikadumbukiza kwenye bahasha nyingine. Nikaweka kitabu ndani kupoteza ushahid mtu asijue kuna nn huyooo ofisi ya danga fulani. Nikafika reception nikampa ps mzigo huu wa bosi wako mpelekee kabeba namuona kapeleka ofisin namuona alivyorudi kanambia mzigo umefika huyoo nikarudi zangu home loh mapenzi bana nikimulove mtu kweli namfanyia vituko vya kila aina. Basi huyo njinga alifurahi aina mfano. Luckyline mtego wangu wa noti ukakamilika baada ya siku mbili. Sms ikaingia " luckyline yo the best woman" ahaaaa ikafata sms ya mpesa.nikasema athante yethu.
juzi tu 2013. Hivi vitu mabinti tunafanyaga maana tunajua hela yenu inawauma wahiyo inabidi tutumie akiri kuwakamataNi zamani gani hiyo iliyokuwa na m-pesa?
....koh koh koh..hilo danga lenye hadi PS afu linakamatwa na kademu kenye "akiri" kama kiazi ulichochoma na lenyewe ni zwazwa tu!juzi tu 2013. Hivi vitu mabinti tunafanyaga maana tunajua hela yenu inawauma wahiyo inabidi tutumie akiri kuwakamata
zawadi ni zawadi mkuu....kwann mkuu
shikamooZamanii hakukuwa na huduma za Mpesa, but its an interesting story though,
Kiazi!!Zamaniiii nilichoma kiazi kitamu nikaweka kwenye bahasha ya kaki ile ndogo nikadumbukiza kwenye bahasha nyingine. Nikaweka kitabu ndani kupoteza ushahid mtu asijue kuna nn huyooo ofisi ya danga fulani. Nikafika reception nikampa ps mzigo huu wa bosi wako mpelekee kabeba namuona kapeleka ofisin namuona alivyorudi kanambia mzigo umefika huyoo nikarudi zangu home loh mapenzi bana nikimulove mtu kweli namfanyia vituko vya kila aina. Basi huyo njinga alifurahi aina mfano. Luckyline mtego wangu wa noti ukakamilika baada ya siku mbili. Sms ikaingia " luckyline yo the best woman" ahaaaa ikafata sms ya mpesa.nikasema athante yethu.