Zawadi ya Bajaj ni halali kwa Ibrahim Class?

Hivi ni kweli kwamba pamoja na maandalizi yote ya pambano la ndondi dhidi ya Mmexico , Ibra tuzo aliyostahili ni Bajaji ?

Hivi ndivyo wenzetu Duniani wanavyofanya au mimi ndio sielewi ?
Kama kwenye Hamna ,hata ukipata zawadi ya shingoo,chukuaaa.
 
Kwani ni lazima kafanya kama nje? Mbona mengine amuigi ya uko nje?
 
Hivi ni kweli kwamba pamoja na maandalizi yote ya pambano la ndondi dhidi ya Mmexico , Ibra tuzo aliyostahili ni Bajaji ?

Hivi ndivyo wenzetu Duniani wanavyofanya au mimi ndio sielewi ?
Nafikiri kabla ya pambano alifahamu fika akishinda atapewa zawadi gani.
Je angeshinda Mmexico naye angepewa bajaji?
Inafikirisha
 
Yaani mtu kakodi ukumbi wa hadhi namna ile na Bado kuwalipa majaji na kuwalipa mabondia malaz na posho unadhani Ni mchezo mchezo ,acheni ujinga kuandaa ngumi siyo mchezo .Ni gharama simetumika tumshukuru huyu muhindi kwa kweli Tena vijana wachangamkie fursa mnk nae gsm atandaa tu muda siyo mrefu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
sasa ndio apewe bajaj kweli?
Hivi yule mmexico angeshinda angepewa hiyo bajaj?
Bora wasingetangaza hiyo zawadi, zawadi zao ziwe siri yao wote .
Naamini hakuna angelalamika maana kama ngumi, zimepiganwa kiuweledi na kwa kusisimua
Nami nimeuliza swali hilo...je Mmexico alifahamu kuwa anakuja kushindania bajaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…