evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
sasa ndio apewe bajaj kweli?Watu walalamishi hata uwape nini
Hivi yule mmexico angeshinda angepewa hiyo bajaj?
Bora wasingetangaza hiyo zawadi, zawadi zao ziwe siri yao wote .
Naamini hakuna angelalamika maana kama ngumi, zimepiganwa kiuweledi na kwa kusisimua