Zawadi ya Bajaj ni halali kwa Ibrahim Class?

Zawadi ya Bajaj ni halali kwa Ibrahim Class?

sasa ndio apewe bajaj kweli?
Hivi yule mmexico angeshinda angepewa hiyo bajaj?
Bora wasingetangaza hiyo zawadi, zawadi zao ziwe siri yao wote .
Naamini hakuna angelalamika maana kama ngumi, zimepiganwa kiuweledi na kwa kusisimua
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hivi ni kweli kwamba pamoja na maandalizi yote ya pambano la ndondi dhidi ya Mmexico , Ibra tuzo aliyostahili ni Bajaji ?

Hivi ndivyo wenzetu Duniani wanavyofanya au mimi ndio sielewi ?
Mo ameanza kuharibu na huku kwenye ndondi.
 
Hivi ni kweli kwamba pamoja na maandalizi yote ya pambano la ndondi dhidi ya Mmexico , Ibra tuzo aliyostahili ni Bajaji ?

Hivi ndivyo wenzetu Duniani wanavyofanya au mimi ndio sielewi ?
Halafu mwakinyo akikataa kupigana bongo mnasemaga ana dharau!!
 
Back
Top Bottom