Zawadi ya milioni 2 kwa wa kwanza kujibu hili swali

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
2,079
Reaction score
2,254
Wakuu kuna swali dogo napenda niwaulize.
Na yule wa kwanza kujibu kwa ufasaha basi anajipatia zawadi ya milioni 2.

Ngojeni kidogo simu imezima chaji..ikijaa nakuja kuwauliza
 
Duuuh bila Jasho? hiyo kanunue tu simu mpya hiyo isha kuwa desktop tayari.

Jibu sijui ila wapo wanalijua hata kabla hujaliuliza swali
 
Wakuu kuna swali dogo napenda niwaulize.
Na yule wa kwanza kujibu kwa ufasaha basi anajipatia zawadi ya milioni 2.

Ngojeni kidogo simu imezima chaji..ikijaa nakuja kuwauliza
kamtoe jela ndugu yako idriss sultan acha kelele uku JF
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kamtoe jela ndugu yako idriss sultan acha kelele uku JF
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahaha..unataka watuunganishie uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…