Kala maharage ya gwajima na ya S. P. I. K. AUmekula maharage ya wapi wewe, ndio nini umeandika sasa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kala maharage ya gwajima na ya S. P. I. K. AUmekula maharage ya wapi wewe, ndio nini umeandika sasa,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi nakupendaga tu.King Kiba....Wao wanazindua perfume sisi tunabeba Tuzo
Hivi lini tutathamini vyetuUmekula maharage ya wapi wewe, ndio nini umeandika sasa,

Nani amemshauri mondi kutoa perfume... Hii biashara ngumu maana kuna brands zimetawala toka dunia ianze... Wasanii wengi USA wamebumaHuku mkiendelea kumlazimishia awe juu zaid,mwenzake anakaribia kuzindua perfurme yenye brand yake.Kiba ndo kwanza yupo dunia ya kuuza tshirt na kapero
King Kiba....Wao wanazindua perfume sisi tunabeba Tuzo
Kama ni tuzo tu tena za kimataifa basi 2016 mond kashachukua nne harmonize mbili na kiba kapata mojaKing Kiba....Wao wanazindua perfume sisi tunabeba Tuzo
Tumeshagundua janja yenu tuzo anapata za ujanja ujanja na kuhonga majaji sasa hivi hazina issue tena. Alikuwa anakuja Na tuzo Tatu tatu kumbe za figisu figisu na aibu ikawe juu yenu. Si anajiita majina ya matajir Mara DANGOTE Mara nn basi ni mda wake mzuri wa kujiita trumpKama ni tuzo tu tena za kimataifa basi 2016 mond kashachukua nne harmonize mbili na kiba kapata moja
Ye'mwenyew hajaelewa kaandika nin.Wew ndo utaelewa?!duuuh mi sijaelewa naomba kwa alielewa anifahamishe ana maana gani juu hapo??
Tuzo za kununua hizo...yaani tunazungumzia Tuzo kama Mtv na BET sio hizo tuzo za Afrimma hizo Hazina tofauti na tuzo za watu za bongo5Kama ni tuzo tu tena za kimataifa basi 2016 mond kashachukua nne harmonize mbili na kiba kapata moja
Na mimi hivyo hivyo yaani í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi nakupendaga tu.
Hyo ndo kazi ya diamond awaachie wenye mziki alkua anatafta mtaji kashaupata na sauti yake kama anaamkaHuku mkiendelea kumlazimishia awe juu zaid,mwenzake anakaribia kuzindua perfurme yenye brand yake.Kiba ndo kwanza yupo dunia ya kuuza tshirt na kapero
Hajashindanishwa mtu hapo, mbona post inaeleza poa tu jinsi mambo yalivyokua kuanzia sintofahamu ya Tuzo hadi show ya Kenya! Sijaona mahala popote pale mtoa post kashindanisha wanamziki Hao!Mkuu kumshindanisha Wizkid na Alikiba ni sawa na kukutanisha mbingu na ardhi, kamwe haitatokea[emoji39][emoji39]
Cha mbolea endeeleni kumshindanisha na Domo japo pia kuna utofauti mkubwa sana.
I stand to be corrected
Wanajistukia sana hao team diamond, na tuzo zao za figisu figisuHajashindanishwa mtu hapo, mbona post inaeleza poa tu jinsi mambo yalivyokua kuanzia sintofahamu ya Tuzo hadi show ya Kenya! Sijaona mahala popote pale mtoa post kashindanisha wanamziki Hao!
Soma vizuri post kabla ya reply!
Achana nao, kiboko Yao Saida KaroliWanajistukia sana hao team diamond, na tuzo zao za figisu figisu
Kazi kulilia tuzo tu kama mtt mdogo kanyimwa kitumbuaWanajistukia sana hao team diamond, na tuzo zao za figisu figisu
Kimaso maso remixAchana nao, kiboko Yao Saida Karoli
[HASHTAG]#copy[/HASHTAG] and Paste
Watu mko chamwino mnasema mko Nigeria!Mkuu mbona mm nipo nigeria mbona sijaona ayo magazeti au nigeria ya wapi au instagram