Zawadi ya Wizkid yampa Alikiba umaarufu Nigeria

See How Wizkid Was Embarrassed By MTV All Because Of A Tanzanian Musician

See How Wizkid Was Embarrassed By MTV All Because Of A Tanzanian Musician
If you call 2016 the year of Wizkid, one is not wrong. The self-styled Baba Nla has had a wonderful year. Gaining more recognition on the international stage, allegedly getting signed to Sony Music, and winning a lot of awards. It is one of the awards he won that may prove to be the one major stain for Wizzy this year.
Some days back, MTV had announced Wizkid as the winner of the Best African Act category in the 2016 edition of the MTV Europe Music Awards (EMA). This was expected since he is the biggest artiste in Africa at the moment but suddenly the organizers made a U-turn, stripped Wizkid of the award and instead gave it to Tanzanian musician Alikiba.

Source:See How Wizkid Was Embarrassed By MTV All Because Of A Tanzanian musician | .
 
Huku mkiendelea kumlazimishia awe juu zaid,mwenzake anakaribia kuzindua perfurme yenye brand yake.Kiba ndo kwanza yupo dunia ya kuuza tshirt na kapero
Nani amemshauri mondi kutoa perfume... Hii biashara ngumu maana kuna brands zimetawala toka dunia ianze... Wasanii wengi USA wamebuma
 
Kama ni tuzo tu tena za kimataifa basi 2016 mond kashachukua nne harmonize mbili na kiba kapata moja
Tumeshagundua janja yenu tuzo anapata za ujanja ujanja na kuhonga majaji sasa hivi hazina issue tena. Alikuwa anakuja Na tuzo Tatu tatu kumbe za figisu figisu na aibu ikawe juu yenu. Si anajiita majina ya matajir Mara DANGOTE Mara nn basi ni mda wake mzuri wa kujiita trump
 
Kama ni tuzo tu tena za kimataifa basi 2016 mond kashachukua nne harmonize mbili na kiba kapata moja
Tuzo za kununua hizo...yaani tunazungumzia Tuzo kama Mtv na BET sio hizo tuzo za Afrimma hizo Hazina tofauti na tuzo za watu za bongo5

alafu next time zungumzia wakati uliopo sio zilipwenda eboooo
 
Huku mkiendelea kumlazimishia awe juu zaid,mwenzake anakaribia kuzindua perfurme yenye brand yake.Kiba ndo kwanza yupo dunia ya kuuza tshirt na kapero
Hyo ndo kazi ya diamond awaachie wenye mziki alkua anatafta mtaji kashaupata na sauti yake kama anaamka
 
Mkuu kumshindanisha Wizkid na Alikiba ni sawa na kukutanisha mbingu na ardhi, kamwe haitatokea[emoji39][emoji39]
Cha mbolea endeeleni kumshindanisha na Domo japo pia kuna utofauti mkubwa sana.
I stand to be corrected
Hajashindanishwa mtu hapo, mbona post inaeleza poa tu jinsi mambo yalivyokua kuanzia sintofahamu ya Tuzo hadi show ya Kenya! Sijaona mahala popote pale mtoa post kashindanisha wanamziki Hao!
Soma vizuri post kabla ya reply!
 
Wanajistukia sana hao team diamond, na tuzo zao za figisu figisu
 
Mkuu mbona mm nipo nigeria mbona sijaona ayo magazeti au nigeria ya wapi au instagram
Watu mko chamwino mnasema mko Nigeria!
Kwa Hali ya kawaida mwanamziki mkubwa kama Wizkid kunyang'anywa tuzo hiyo Habari lazima iandikwe!
Labda useme huko Nigeria kwenu hakuna magazeti
 
Nyingine hiyo imepostiwa kama English ni tatizo ndiyo mtuambie kabisa Haaaaaaahaaaa haaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…