Zawadi yangu kwa wana chit chati

Ruhazwe Jr thanks from mjifti, wanasema kupeana ni kikoa pewa na wewe utoe!
Respond itanihusu,
Note : inakuaje Madame B anakualika gift , then fixed asset unabaraguza? Hausomeki ? Fikiri tena kumhusu!
 
Ruhazwe Jr thanks from mjifti, wanasema kupeana ni kikoa pewa na wewe utoe!
Respond itanihusu,
Note : inakuaje Madame B anakualika gift , then fixed asset unabaraguza? Hausomeki ? Fikiri tena kumhusu!

Ruhazwe JR ndo walewale.
Judgement huyu mtoto nina kesi nae ya muda mrefu tu.
Ndo kaamua kupunguzia machungu through ChitChat.

Hebu mueleze au kaja mjini kwa lifti ya Roli la Nyanya?
 
Last edited by a moderator:
Ruhazwe JR ndo walewale.
Judgement huyu mtoto nina kesi nae ya muda mrefu tu.
Ndo kaamua kupunguzia machungu through ChitChat.

Hebu mueleze au kaja mjini kwa lifti ya Roli la Nyanya?

Madame B ,
Nukuu busara zasema,
Wahasimianao!
Washutumianao!
Wakorofishanao!
Wabugudhianao!
Ndiyo
Wapatanao !
Swali langu la kimsingi are you still yet love Ruhazwe Jr ?
If yes,
Realy love ?
Au mguu nje, mguu ndumwa ?
Be tranceparency.
 
Last edited by a moderator:
Madame B ,
Nukuu busara zasema,
Wahasimianao!
Washutumianao!
Wakorofishanao!
Wabugudhianao!
Ndiyo
Wapatanao !
Swali langu la kimsingi are you still yet love Ruhazwe Jr ?
If yes,
Realy love ?
Au mguu nje, mguu ndumwa ?
Be tranceparency.

Judgement cjui hata nikwambiaje.
Ruhazwe JR anajua anenacho na atendacho.

Anajishebedua tu.
Mwambie kama Ameshukia Posta,ataondokea Tandika Sudani.

Ruhazwe JR come huku ujibu mashtaka.
Achana na Mke Mwenzangu huyo.
 
Last edited by a moderator:
Ruhazwe Jr thanks from mjifti, wanasema kupeana ni kikoa pewa na wewe utoe!
Respond itanihusu,
Note : inakuaje Madame B anakualika gift , then fixed asset unabaraguza? Hausomeki ? Fikiri tena kumhusu!

umesahau alivyogoma kunifungulia kisa nimechelewa kurudi hadi nika lala nje?...umesahau mlivyo kuwa mnasuruhisha ili kikao cha harusi kiendelee.....umesahau kama kikao cha harusi kilivunjwa na watu wakarudishiwa michango yao?I am Mr never Turn Back
 

message sent and delivery!
 
eish kikwete atuombe msamaha! katukosea sana. nice thing Ruhazwe JR, thanx brotherito!
 
Last edited by a moderator:
alishaniomba na yalishaisha usiwe na shaka Bishanga

mwenzako ulivyokua umejaa upepo nilikuwa ninakumezea mate kumbu ukichukia unakumzuri hivyo,ngoja nikuchokoze tena,....mmmmwaaa!..aish tamu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…