Zawadi yangu kwa wana JF:Jinsi ya kushinda Biko droo za papo kwa papo

Sinaga bahati...nakumbuka jackpot bingo nlikosa namba 1 tu
 
Kwan nan amekuita hapa JF umsapoti au kiherehere chako tu
 
Wakuu mambo vipi out of topic kidogo,naomba kuuliza hivi,makao makuu ya biko yako wapi!??
 
Eti na wewe umekaa ukawaza ukaona uje na hilo. [emoji23] [emoji23] akili za kupewa hizi nazo sio nzuri.
 
Wakuu mambo vipi out of topic kidogo,naomba kuuliza hivi,makao makuu ya biko yako wapi!??
Mikocheni... Unaweza kuingilia hapo zantel(drive inn cinema) unashuka na njia ya kuelekea kwa Kairuki hospital.. Nyoooka moja kwa moja mpaka unaikuta njia ya kukunja kuelekea kwa kairuki hapo usikunje nyooka tena kama mita 150 hivi kushoto kwako utakua umefika.
 
biko ni jamii ya panz scheme nia nikuexploit utajiri wa umma correct me if im wrong
 
Kucheza kamari ni upuuzi na ukosefu wa akili timamu, hizo pesa wanazokupa ww kwani wao hawazitaki au!?
 
Ooh shukrani sana mkuu..nakutakia likizo njema wewe na familia yako
 
nimekupata PR wa BIKO, publicity yako haitatoka bilabila utawapata tu
 
Nikiwaga na stress tu huwa naingia JF yaani kuna watu wana majibu kuliko hamph lay pori pori!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…