Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan nan amekuita hapa JF umsapoti au kiherehere chako tuModerator naomba uufute uzi huu, mimi nimetoa uzi huu bada ya kuona wengi wakiliwa bukubuku zao na biko and so,
Biko hawanijui, mimi nimekuwa mchezaji wa Biko kwa miezi kadhaa sasa na siku hizi ninapata vilaki vilaki kwa njia ambazo nimeziweka hapa.
Watu wanadhani nimetumwa na Biko, hivi Marketing manager au MBR anaweza kukuambia kuwa mfumo wa bahati nasibu yao iko based kwao(yaani wao ndio hupata faida)?
Kila mmoja sasa apambane na hali yake.
Sitamsapoti mtu yeyote hapa jf kwa jambo lolote.
Embu cheza huko unipeleke beach tukanywe madafuNimewaza hvyo hvyo
Mikocheni... Unaweza kuingilia hapo zantel(drive inn cinema) unashuka na njia ya kuelekea kwa Kairuki hospital.. Nyoooka moja kwa moja mpaka unaikuta njia ya kukunja kuelekea kwa kairuki hapo usikunje nyooka tena kama mita 150 hivi kushoto kwako utakua umefika.Wakuu mambo vipi out of topic kidogo,naomba kuuliza hivi,makao makuu ya biko yako wapi!??
Ooh shukrani sana mkuu..nakutakia likizo njema wewe na familia yakoMikocheni... Unaweza kuingilia hapo zantel(drive inn cinema) unashuka na njia ya kuelekea kwa Kairuki hospital.. Nyoooka moja kwa moja mpaka unaikuta njia ya kukunja kuelekea kwa kairuki hapo usikunje nyooka tena kama mita 150 hivi kushoto kwako utakua umefika.
Ukiona Mbongo anakuitia fursa basi ukae ukijuwa wewe ndio fursa yenyewe.Kweli Xmas inalevya
Nyooooooo.Kila MTU na bahati yake
Niombee sasa nishinde sio beach tu ata kule uliponipeleka kwenye yale mavyakulaEmbu cheza huko unipeleke beach tukanywe madafu