Baada ya vyuma kukazwa na jamaa, watu wamebuni miradi ya kujiongezea kipato, tena kipato cha nguvu kwa kuwatumia wadanganyika kutuma hela kwa simu, kwa wiki wanaweza kukusanya mil.900 na kuendelea, halafu wanatoa mil.100 (50m+50m) kama bahati. Hizo zinazobaki zinaenda wapi?
Ukipata jibu utajua kwanini hizo bahati na sibu zimeibuka sana siku za hivi karibuni.
Nilipatia namba tatu yaani 340 wao wakaniambia namba ya ushindi ni 430 ila namba mbili zimeshinda.
Sikuwaelewa kabisaaaaa na tangu hapo cjacheza tenaaaa