MBUTAIYO
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 699
- 416
Baada ya vyuma kukazwa na jamaa, watu wamebuni miradi ya kujiongezea kipato, tena kipato cha nguvu kwa kuwatumia wadanganyika kutuma hela kwa simu, kwa wiki wanaweza kukusanya mil.900 na kuendelea, halafu wanatoa mil.100 (50m+50m) kama bahati. Hizo zinazobaki zinaenda wapi?HIV Kwa nini now days michezo ya bahat na sibu iko 10+???
Ukipata jibu utajua kwanini hizo bahati na sibu zimeibuka sana siku za hivi karibuni.