Zawadi yangu kwa wana JF:Jinsi ya kushinda Biko droo za papo kwa papo

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
4,580
Reaction score
7,943
Jamiiforums ni lulu sana kwangu, nimepata kazi na kujifunza mengi kupitia jukwaa hili. Elimu yangu ni ya kawaida sana ila ninaweza kuwapa msaaada wa kimawazo na kitaalamu marafiki na baadhi ya wafanyakazi wenzangu hata wale walionipita madarasa, hii yote ni kwasababu ya neema ya ufahamu aliyonipa Mungu plus JF.

Sitaki kuwa mchoyo, nataka nikupe siri ya kamari/bahati nasibu hii ya Biko, na nikifanya uchunguzi wa kina juu ya baadhi ya bahati nasibu zingine kama 3 Mashetani(Tatu mzuka)nitawapa hints za kuweza kushinda pia.

Kwa Biko.
1.Jua muda ambao watu wengi wako huru na muda ambao wengi wanacheza.

2.Tambua Biko wanapataje faida na wanagawa vipi sehemu ya faida yao.

Katika mambo hayo 2 juu usipojua utaliwa kila leo na utajiona una mikosi kumbe la!

Cheza wakati watu wengi wanacheza, hapa chukulia mida kama saa 10-18 alasiri maana muda huu wengi wanakuwa huru mbali na majukumu.

Hapa kwenye kujua biko wameutengeneza vipi mfumo wao wa kupata faida ni mada ndefu sana ila cha msingi elewa tu kuwa mfumo wao ni wakujinufaisha wao na wanye bahati au waelewa wachache hugawiwa tu sehemu ya faida yao.

Cheza kwa kukata double tickets, atleast kata tickets kuanzia 4 na ikiwezekana zisizidi 10 tickets per once.

Hapa laki za biko utazipata sana.
Naomba nisipokee maswali juu ya mada hii maana nimechoka sana kwa majukumu ya leo na jana.

Ukishinda waweza kaa kimya au ukarudisha feedback hapa.
Ahsanteni.
Mungu awabariki.
 
Mbona Mie nilicheza mchana kama saa5 hivi na nikashinda jamani sio lazima muda hio kama Bahat yako ikifika utashinda tuu
 
Peleka huko ujinga wako
 
Mkuu maneno mengiiiii... Unajaza server tu... Ww tuambie umepewa dili uongeze watu waliwe upewe 2kg za nyamaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom