lol ..hebu nihangaike kwanza nakuingiza Pesa mimi ..hahahaaView attachment 708540
Hahahahaha sio kosa lako yaliyomo yamo ndomana umekuja kivingine lol...
Sina la kaongeza nakula mema ya smartiiiiiiiiiiiii tu nipe hongera [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mama funguaa hivyo vifuko kilaa mtu anavyo mdani acha kuturusha roho wenzio lolView attachment 708545
From Smart911 to mahondaw
Happy women's day my love [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
We nikome nimekuombaaa nini mxiewwwwwewDuuh!omba omba MPA jmf
KhakhakhakhakhaaaaaaaaaaaMama funguaa hivyo vifuko kilaa mtu anavyo mdani acha kuturusha roho wenzio lol
Nacheka kwa dharaaaaaaauuuuuuuuuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unatamanisha wenzio, maisha hayako hivyo unless Smart911 anajiongeza na nganda lakini kama anahangaika kihalali naomba nipishane nawe au unawakoga aliokuwa anakula? Nakumbuka Hadith zako katika uchaguzi zinaitwa fitina! Kamati ya fitina ya mpinzani wako zinapita na kujigamba kuwa umewahonga mamilion na watu wengine wananuna na kukuona ni mbaya kura zinayesa! Isije ikawa unarusha ndege wake kijanja
hahaaaaaWe nikome nimekuombaaa nini mxiewwwwwew
Yani umeongea kihekima na busara leo mpaka nimefurahiiii. [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]teheee big fish in the ocean ...hayo maneno yakawaida tu yasikuapasue akili wwe wadhani watu wote tuko sawa mkuu '' nani kasema "" though hatushei akili niwazi hata mitazamo Yetu lazima itakuwa nitofauti kabisaaa...
halafu ngoja nikwambie jambo ukijiona wafnya kitu katika maisha halafu hcho kitu kikakosa kukosolewa yakupasa ufahamu kuwa hcho kitu wala hakina mvuto na hakifurahishwi kabisaaa na watu tena wala hawajishughulishi nacho "" ila ukiona wafnyà jambo kisha ukaanza kupokea Jumbe mbali mbali za kero na ushauri na zakukutia hamasa yakupasa utambue kuwa hcho unachokifnya ndio haswaaaa ulichopaswa kukifnya Siku zote za maisha yako ...so wewe song a mbele huwezi kuwa na utashi wakumfurahisha kila mtu ..kwani wewe yesu ...huyo yesu Mwenyewe historia yasema kuwa alibanikwa kwnye msalaba ....
Mimi ni Mgeni Sawa ila nina kosa gani kutoa maoni yangu! Jiamini mama nadhani maono yangu yana ukweli ndiyo maana umekwazika!View attachment 708540
Hahahahaha sio kosa lako yaliyomo yamo ndomana umekuja kivingine lol...
Sina la kaongeza nakula mema ya smartiiiiiiiiiiiii tu nipe hongera [emoji12] [emoji12] [emoji12]
hahaaaa kwani leo smart hakuletei PIZA...???Big fish teinaaaaa lol !!![emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wacha nami nikasake hela ya mboga mboga hata za majani tu
Cc Smart911
Shoo imekuwaje tenaa??Kuna mahali nimekukwaza labda??
Uyo mtu hata sielewi mara anambie nimekua omba omba ilimradi tafrani ndio nikamuuliza kama kuna mahaki nimemkera labdaShoo imekuwaje tenaa??
Uyo mtu hata sielewi mara anambie nimekua omba omba ilimradi tafrani ndio nikamuuliza kama kuna mahaki nimemkera labda
Hahahhahaha naona tunafundishwa kustahmili nyakati ngumungumi kama hizi hata sjui labda umcheki pmNa sponser kapoteleaa wap au ndo anatufundisha kuwa wavumilivu??
Ni pm nikupe voda ya 500Yeuwiiiii mm nimechelewaa[emoji29][emoji29][emoji29]dah!!!cjui nilikuwa wapi jamanii