Zawadi yangu kwenu katika kuazimisha siku ya wanawake

Zawadi yangu kwenu katika kuazimisha siku ya wanawake

Maskini ya mungu pole maana ukisikia paaaa
_20180309_075800.JPG

It's written ; From Smart911 to mahondaw

Happy women's day my love [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Mama funguaa hivyo vifuko kilaa mtu anavyo mdani acha kuturusha roho wenzio lol
Khakhakhakhakhaaaaaaaaaaa
Unatamanisha wenzio, maisha hayako hivyo unless Smart911 anajiongeza na nganda lakini kama anahangaika kihalali naomba nipishane nawe au unawakoga aliokuwa anakula? Nakumbuka Hadith zako katika uchaguzi zinaitwa fitina! Kamati ya fitina ya mpinzani wako zinapita na kujigamba kuwa umewahonga mamilion na watu wengine wananuna na kukuona ni mbaya kura zinayesa! Isije ikawa unarusha ndege wake kijanja
Nacheka kwa dharaaaaaaauuuuuuuuuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ati kuturusha roho.. Mara kutamani [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji12] [emoji12]
Tihtihtihtihi..... Mmeshinda wakuu. [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]


Cc Smart911
 
teheee big fish in the ocean ...hayo maneno yakawaida tu yasikuapasue akili wwe wadhani watu wote tuko sawa mkuu '' nani kasema "" though hatushei akili niwazi hata mitazamo Yetu lazima itakuwa nitofauti kabisaaa...
halafu ngoja nikwambie jambo ukijiona wafnya kitu katika maisha halafu hcho kitu kikakosa kukosolewa yakupasa ufahamu kuwa hcho kitu wala hakina mvuto na hakifurahishwi kabisaaa na watu tena wala hawajishughulishi nacho "" ila ukiona wafnyà jambo kisha ukaanza kupokea Jumbe mbali mbali za kero na ushauri na zakukutia hamasa yakupasa utambue kuwa hcho unachokifnya ndio haswaaaa ulichopaswa kukifnya Siku zote za maisha yako ...so wewe song a mbele huwezi kuwa na utashi wakumfurahisha kila mtu ..kwani wewe yesu ...huyo yesu Mwenyewe historia yasema kuwa alibanikwa kwnye msalaba ....
Yani umeongea kihekima na busara leo mpaka nimefurahiiii. [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]


Asante sana mwaya I do appreciate [emoji120]

Cc Smart911
 
woooww wooowww ..tuko pamoja big fish
Big fish teinaaaaa lol !!![emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wacha nami nikasake hela ya mboga mboga hata za majani tu


Cc Smart911
 
View attachment 708540
Hahahahaha sio kosa lako yaliyomo yamo ndomana umekuja kivingine lol...
Sina la kaongeza nakula mema ya smartiiiiiiiiiiiii tu nipe hongera [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mimi ni Mgeni Sawa ila nina kosa gani kutoa maoni yangu! Jiamini mama nadhani maono yangu yana ukweli ndiyo maana umekwazika!
 
Big fish teinaaaaa lol !!![emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wacha nami nikasake hela ya mboga mboga hata za majani tu


Cc Smart911
hahaaaa kwani leo smart hakuletei PIZA...???


au waogopa ukisema kuwa utaletewa hiyo kitu binaadamu watakufungulia thread
 
Uyo mtu hata sielewi mara anambie nimekua omba omba ilimradi tafrani ndio nikamuuliza kama kuna mahaki nimemkera labda

Na sponser kapoteleaa wap au ndo anatufundisha kuwa wavumilivu??
 
Hizo zawadi zingetoka ingekuwa kaandika 'Kuadhimisha' na sio kuazimisha yenye maana kuwa anawaazima, kwahiyo muwe tayar kumuazima buku bee kila mmoja[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo zawadi zingetoka ingekuwa kaandika 'Kuadhimisha' na sio kuazimisha yenye maana kuwa anawaazima, kwahiyo muwe tayar kumuazima buku bee kila mmoja[emoji23][emoji23][emoji23]
Genius 😀
 
Back
Top Bottom