CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Kweli mkuu,hizi sms zinakera sana aise!Ni kujaziana inbox tu, inauzi sana pale unapokuwa unawaza mambo yako mara sms inaingia eti umepata 50 tsh.
Mkuu na wewe kumbe umehamia huku,yaani hawa vodacom wanatufanya sisi watoto sana,wanakukata transfer fees ya tsh2,000 alafu wanakupoza kwa tsh50.binafsi pia nakereka sana na haka ka zawadi kakizushi. Ni bora wakaacha kabisa. Hata hivyo kwa hivi sasa nimehamia airtel money. Huu uzushi wa vodacom tupa kule. Aaaaghaaarr kero tupu.
Ndio maaana wakasema
'Vodacom kazi ni kwako'
Hahaha ha ha ha!Bora mmenisemea mi ndo hupatwa na kichefuchefu na hiyo 50! Isiyozingatia muamala wa amount ipi uufanyao!
Nahisi kutapika niionapo 50!
K kibuyu zao!
Voda bana! Mie nimetumia mtandao huu miaka yote,ila itabidi niwahame punde.
Alafu unapozwa kwa 50 lolduh kumbe tupo wengi, bora wangekuwa wanaangalia amount ulotuma wakatoa walau 5% kama bonus. otherwise ni WIZI MTUPU. Afu siku hizi ukituma pesa nawe unakatwa na mtumiaji naye anakatwa. yan balaa square. . . .
Mkuu umeshafanya uchunguzi huko unakotaka kuhamia?Voda bana! Mie nimetumia mtandao huu miaka yote,ila itabidi niwahame punde.