Zawadi za mshindi wa ligi ziangaliwe upya

Zawadi za mshindi wa ligi ziangaliwe upya

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Mil 80 anazopewa mshindi wa ligi ya NBC ziangaliwe upya ili zilingane na thamani ya ligi na gharama za timu.
 
Mil 80 anazopewa mshindi wa ligi ya NBC ziangaliwe upya ili zilingane na thamani ya ligi na gharama za timu.
Nakubaliana na wewe 100%. Ila TFF pia aiangalie njie nyingine za mapato kupitia mashindano hayo. Kwa mcehazo wa mpira ambao una wapenzi wengi sana dunaia kote ni udhaifu mkubwa sana kwa TFF kutokuwa na mapato ya kutosha kuboost zawadi hizo. Hapo ndipo umuhimu wa kuchagua viongozi wa TFF wenye vision.

Nitaangaliza zawazi zinazotolewa na ligi mbalimbali duniani nizilete hapa kwa ulinganisho.
 
Nan kakwambia mshindi wa Ligi anachukua mil 80?

Mbona vitu vidogo Kama hivi mnashindwa kufanya research

Bingwa wa Ligi anachukua 1Billion

[emoji599]Azam TV rights 40m kwa miezi 8 =320m
[emoji599]Nafasi ya 1 Bingwa anapewa na Azam 500m
[emoji599]NBC anatoa million 100

Total 920m ambayo inaweza ku raise had 1B

Duniani kote hata EPL mchanganuo wa Prize money upo hivo

Ukitaka elimu zaidi na uthibitisho wa Prize money kwa Ligi yoyote nitakupa
 
Total 920m ambayo inaweza ku raise had 1B

Duniani kote hata EPL mchanganuo wa Prize money upo hivo

Ukitaka elimu zaidi na uthibitisho wa Prize money kwa Ligi yoyote nitakupa
Niliyowekea rangi siyo kweli halafu mstali wa mwisho niliokata hauna maana yoyote
 
Niliyowekea rangi siyo kweli halafu mstali wa mwisho niliokata hauna maana yoyote
Siokweli wakati huna data ,Mimi nakupa data

Azam anatoa million 40 kwa kila timu kwa mwezi ,zidisha Mara miezi 8 ya Ligi unapata million 320

Azam analipa pesa kulingana na nafasi uliyoshika kwenye Ligi ,bingwa anapewa million 500

NBC anatoa million 100

TOTAL PRIZE MONEY NI 920M ina raise had 1B

Unachobisha nini

Prize money ya BINGWA HAD MTU WA MWISHO INA KUWA CALCULATED HIVO
20220609_225457-681x795.jpg
Screenshot_20230811-033609.jpg
 
Back
Top Bottom