Zay B vs Sister P

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Bongo bana unaweza kutengenezewa uadui na wengine nawe ukaufanya halisi mpaka kufikia hatua ya kumchukia mtu kweli kwa kweli
Hawa mabinti wawili walichonganishwa mbaya na media uchwara..hivi Leo hii wakiwa wamepotea kwenye anga za kuvuma na wakiwa wakubwa wanaojitambua hahawazi na kujuta kwa kuchonganishwa kwa malachi ya wengine?
No Zay B na Sister P
 
Zay b alitamba na hii
Zay B sasa yuko gado mashairi yamejaa kisado... (kumbe ndio maana alipotea! Mashairi ya kwenye kisado si chochote kwenye game)
Sister P alivuma na hii
Anakuja...Anakuja....Sister P Anakuja (Ana haki ya kupotea... tendo la kuja ni la sekunde)
 
Hahahaha
Wanaume wazee wa shughuli kipindi hiko nilikuwa na jua yuko na 'the end mwa mcotton' (yaani mwisho mwampamba).

Sasa hao kina sister P inamaana nao hawakufaidi kazi zao!!? Au walifulia tu kama mr nice
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
nature aliimba Salio la verse katika kichwa chake ni dollar bilioni kumbe ndo maana bdo yupo yupo.atakua kabakiza buku saivi
 
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mpododo ni habari ingine kabisa hasa ukiambatana na hizi[emoji386] [emoji387] [emoji389] [emoji384] [emoji385] [emoji383]
Alienda kusoma,kufika kule kaolewa na jamaa aliye m-promise kumsomesha,kumbe mshikaji anjihusisha na drugs,mshikaji kala nyundo za kutosha rah P akabaki ana hange na watoto mtaani,baade Rah P mwenyewe aliwekwa ndani kwa kuwa addicts wa pombe,in short maisha Yake yalikosa ramani,.na kipaji chake alienda kukifukia huko,but kuna mda aliachia ngoma na alfa yule mshindi wa tusker project fame nyimbo inaitwa African queen
 
Sad story nakumbuka kuisoma pahala dunia haina huruma ila pia ni funzo kwa wale wapendao makuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…