Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Sista Pee kaolewaBongo bana unaweza kutengenezewa uadui na wengine nawe ukaufanya halisi mpaka kufikia hatua ya kumchukia mtu kweli kwa kweli
Hawa mabinti wawili walichonganishwa mbaya na media uchwara..hivi Leo hii wakiwa wamepotea kwenye anga za kuvuma na wakiwa wakubwa wanaojitambua hahawazi na kujuta kwa kuchonganishwa kwa malachi ya wengine?
No Zay B na Sister P![]()
![]()