Zay B vs Sister P

Zay B vs Sister P

Hawakujua kuwa bifu lao lilikuwa ni mtaji mzuri kwenye game lao.
 
Zay b alitamba na hii
Zay B sasa yuko gado mashairi yamejaa kisado... (kumbe ndio maana alipotea! Mashairi ya kwenye kisado si chochote kwenye game)
Sister P alivuma na hii
Anakuja...Anakuja....Sister P Anakuja (Ana haki ya kupotea... tendo la kuja ni la sekunde)
[emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
Inasemekana Zay b alitaka wawe wanapeana mipasho kwenye nyimbo zao waonekane hawapendani. Sister p akazingua, ndio maana wakaishia njiani...
 
Mpaka leo siwezi kumsahau ENIKA
Alikufanyia nini mkuu mbona umemuweka moyoni teh teh teh,ila kama ndie kweli alifanya kiitikio cha hawatuwezi cha Nako 2 Nako soldiers basi atakuwa mkali ingawa sikuwahi kusikia ngoma yake.
 
Na dajoo pia

Hey hey dajo tunakukubali na bado nadhani Hanna swali

Ahsante mkuu. Umenikumbusha mbali sana back in ze day. DaJoo... she was my most favorite female emcee in Tz. Nazitafuta sana nyimbo za huyu mdada.

Yupo wapi siku hizi? nahisi keshakuwa mama.

-Kaveli-
 
Alikufanyia nini mkuu mbona umemuweka moyoni teh teh teh,ila kama ndie kweli alifanya kiitikio cha hawatuwezi cha Nako 2 Nako soldiers basi atakuwa mkali ingawa sikuwahi kusikia ngoma yake.
Ndo huyo huyo mkuu,
Hasahasa wimbo wake wa BARIDI, Yani nasikitika kwanini amejitenga na tasnia,
 
Rah p yuko USA mcheki YouTube ,alipata majanga sijui kama amesha recover,alikuwa talented huyu mdada
Rah P hakuwa na talent kivile, ngoma pekee iliyomng'arisha ni "hayakuhusu" ambayo aliandikiwa na Noorah. Kama angekuwa na kipaji kweli tungemsikia kama tunavyomsikia Komando Jide
 
Zay b alitamba na hii
Zay B sasa yuko gado mashairi yamejaa kisado... (kumbe ndio maana alipotea! Mashairi ya kwenye kisado si chochote kwenye game)
Sister P alivuma na hii
Anakuja...Anakuja....Sister P Anakuja (Ana haki ya kupotea... tendo la kuja ni la sekunde)
mkuu nitaipataje hiyo anakuja?
 
Shida ya Zay B na Sister P baada ya kupambana kwenye gemu wakaanza kupigana vijembe na usela kwa sana mwisho wakakosa mvuto kabisa wakapotea,
 
Back
Top Bottom