Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji33] [emoji33] [emoji33]Zay b alitamba na hii
Zay B sasa yuko gado mashairi yamejaa kisado... (kumbe ndio maana alipotea! Mashairi ya kwenye kisado si chochote kwenye game)
Sister P alivuma na hii
Anakuja...Anakuja....Sister P Anakuja (Ana haki ya kupotea... tendo la kuja ni la sekunde)
Umewahi kusikia ajali, ujambazi,au moto Mtogole"Ngoja nimcheki
Lakin bosi kupatwa na janga ukiwa US ni afadhali kuliko ukiwa kwa mtogole
Mpaka leo siwezi kumsahau ENIKANilimkubali sana Dataz,wasanii wa kike nchi hii sijui wana matatizo gani! hawana mwendelezo mzuri.
Alikufanyia nini mkuu mbona umemuweka moyoni teh teh teh,ila kama ndie kweli alifanya kiitikio cha hawatuwezi cha Nako 2 Nako soldiers basi atakuwa mkali ingawa sikuwahi kusikia ngoma yake.Mpaka leo siwezi kumsahau ENIKA
Na dajoo pia
Hey hey dajo tunakukubali na bado nadhani Hanna swali
Ndo huyo huyo mkuu,Alikufanyia nini mkuu mbona umemuweka moyoni teh teh teh,ila kama ndie kweli alifanya kiitikio cha hawatuwezi cha Nako 2 Nako soldiers basi atakuwa mkali ingawa sikuwahi kusikia ngoma yake.
Ameimba kiitikio cha Nako 2 nako Hawatuwezi',Si yule aleimba ngoma ya kwetu?
Rah P hakuwa na talent kivile, ngoma pekee iliyomng'arisha ni "hayakuhusu" ambayo aliandikiwa na Noorah. Kama angekuwa na kipaji kweli tungemsikia kama tunavyomsikia Komando JideRah p yuko USA mcheki YouTube ,alipata majanga sijui kama amesha recover,alikuwa talented huyu mdada
mkuu nitaipataje hiyo anakuja?Zay b alitamba na hii
Zay B sasa yuko gado mashairi yamejaa kisado... (kumbe ndio maana alipotea! Mashairi ya kwenye kisado si chochote kwenye game)
Sister P alivuma na hii
Anakuja...Anakuja....Sister P Anakuja (Ana haki ya kupotea... tendo la kuja ni la sekunde)
Hata mm nilikuwa namkubali sana yule shombe shombe inabidi tumuulize mwisho mwampamba alimpeleka wapi mkali wetu?