Zbc inaboa jamani kwa watangazaji wa mpira!

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
4,369
Reaction score
5,248
Siyo kwenye uchambuzi bali utangazaji wa mpira, watangazaji wake wamepoa sana, hawajachangamka, hawana yale maneno tuliyozoea ya kuvutia, hata goli likifungwa, inaboa kusikiliza linavyotangazwa, kwa kweli hapa Azam huwa mnatuboa sana kwa hawa watangazaji wa ZBC.
 
Nenda DSTV si wanaonesha hizi mechi za CAF
 
Hivi Azam wao hawawezi kurusha matangazo ya game ya Leo? Naona wanachukua matangazo Toka kwa ZBC2
 
Sio kwamba Azam wanachukua matangazo kwa ZBC bali ofisi za ZBC zipo ndani mule makao makuu ya Azam na hata wale watangazaji ni waajiliwa Wa Azam so matangazo yote yanayorushwa ZBC yanazalishwa na Azam kupitia jina la ZBC. Na kuhusu wachambuzi kutokua na radha hilo ni wazo lako tu kwani haiwezekani kila siku umsikie mpenja pekeake lazima na wengine wapewe nafasi.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Wapi nimeongelea wachumbuzi Fala wewe! naongelea wanaotangaza mpira, utakuwa Huna akili timamu kma utangazaji wao utaulinganisha na akina Mpenja
 
Hivi Azam wao hawawezi kurusha matangazo ya game ya Leo? Naona wanachukua matangazo Toka kwa ZBC2
Gharama mechi za ngazi ya vilabu na timu za Taifa kwa nchi husika gharama ni sawa na bure tuu hata TBC wangeweza kuonyesha sasa ZBC ni channel ya Zanzibar ambao kwa CAF ngazi ya vilabu ni mwanachama kwaio kupitia ZBC ni kitonga
 
Wapi nimeongelea wachumbuzi Fala wewe! naongelea wanaotangaza mpira, utakuwa Huna akili timamu kma utangazaji wao utaulinganisha na akina Mpenja
Sawa lakini matusi hayasaidii unaweza ukamuona mpenja ni mtangazaji bora ya mpira lakini wengine wakamuona hafai so uzuri au ubaya wa mtu inatokana na taswira au mtazamo wa mtu mwenyewe kwahiyo kulialia unamtaka mpenja subiri gemu za bongo ila unachokitaka kwamba kila siku uwasikie watangazaji wanaofanana na mpenja tu haiwezekani kwani kilamtu anaradha yake.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Picha video mubashara ndo kila kitu na sio kudanganywadanganywa kwa maneno
 
JAMANI MWENYE LINK YA CHANNEL YA ZBC ATUBLESS TU ENJOY NASISI WAKUU.. AZAM HD WASHA FUNGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…