G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Siyo kwenye uchambuzi bali utangazaji wa mpira, watangazaji wake wamepoa sana, hawajachangamka, hawana yale maneno tuliyozoea ya kuvutia, hata goli likifungwa, inaboa kusikiliza linavyotangazwa, kwa kweli hapa Azam huwa mnatuboa sana kwa hawa watangazaji wa ZBC.