Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #181
Umeelewa nilichosema hapo juuKumradhi ZBC ni shirika la utangazaji....sio serikali
π€
Dini ya kulazimishanaππKuna mambo huwezi kuyabadilisha sasa sehemu 98% no waislamu unategemea nini? Waweke kwaya? Ule ni utamaduni wa watu wa zanzibar na lazima uheshimiwe, ramadhani inakuja utaratibu wetu ni ule ule bakora tu kwa makobe
kama zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania haifai ZBC kujaza maudhui ya kiislam kwa wingi katika vipindi vyake wakati ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya kiislam
Ndio maana ata wasomi kwenu wachacche
Utamaduni Wa Wazanzibar Ni UislamNaomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini?
Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali
Lakini kwa ZBC nitofauti kabisa ni dini mwanzo mwisho sijui kama kuna mfanya kazi pale ambaye ni mkristo
ZBC inamilikiwa na serikali ya Zanzibar,na Zanzibar 99% ni waislam.Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini?
Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali
Lakini kwa ZBC nitofauti kabisa ni dini mwanzo mwisho sijui kama kuna mfanya kazi pale ambaye ni mkristo
1.wewe ni msomi?,Kwan zanzibar ni nchi nyingine?
Yaani raia wa Saudi Arabia asiwe na ajira/asinufaike na mafuta ya nchi kwake aje anufaike raia wa ufaransa?ππ πIla nasikia ata kwenye ajira ni ngumu sana mkristo kupata au mtu anaetokea musoma kupata ajira pale
1.Karume hakua fala kusaini hati ya muungano na msomi wa Makerere Nyerereππππkama zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania haifai ZBC kujaza maudhui ya kiislam kwa wingi katika vipindi vyake wakati ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya kiislam
Mwislam kafiri na shoga hupenda tusi la kafiriKuna ZBC 2 hii ni ya Azam TV na imewekwa special kwaajili ya Dini tu, na kuna ZBC hii inamilikiwa na SMZ hii inajumuisha mambo yote taarifa ya habari, Ngoma, Dini, michezo, mpaka Dini yenu ya kikafiri wana vipindi vyao humo, Wacha kulalamika Kafiri Waheed we
Sasa nan ana mnyonya mwenzie kat ya tanganyika na zenjiHao jamaa wangeachiwa tu nchi yao, wanaishi kigumu sana kufuatana na matakwa ya Tanganyika ila deepdown wengi wao hawapendi.
Zenji kauza uhuru wake kwa vipande kadhaa vya fedhaSasa nan ana mnyonya mwenzie kat ya tanganyika na zenji