ZBC wa startimes

ZBC wa startimes

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Walitudanganya wataonesha mashindano ya kombe la ulaya(EURO) lakini hatuoni. Nini kimewasibu
 
Jana nimesubiri bila bila ila nasikia AZAM TV wanaonesha kupitia zbc2. Why Startimes wamekuwa waongo kiasi hiki
 
Hiyo crtv iko kwenye other channels bonyeza katika ya remote yako then bonyeza mshale wa kwenda kulia utaiona huhitaji kulipia
 
Kesho nawahi dukani nichukue AZAM TV
Wahi ukanunue Azam TV lakini ujue siyo mechi zote zinaoneshwa. Wanaonesha hizi mechi za saa 4 usiku tu lakini mechi za saa 10 jioni na saa 1 usiku hawaoneshi.
 
Duh yaani sasa hivi kuona euro imekuwa dili, eti unaona mechi moja tu ya saa4 sasa ndio nini bora nigharamie dstv tu hizi local ving'amuzi hamna kitu
 
Daah maisha yanaenda kwa kasi sana.. Enzi zile ITV, TBC1, Channel ten walikua wanashindana kuonyesha mipira.



Sasa hatuna pa kukimbilia..
 
Back
Top Bottom