ZBC yangia Makubaliano na TFF Kutangaza Matangazo ya Mpira Redioni yennye thamani ya 3.5bilioni

ZBC yangia Makubaliano na TFF Kutangaza Matangazo ya Mpira Redioni yennye thamani ya 3.5bilioni

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
TBC na TFF wameingia makubaliano yenye thamani ya Tshs 3.5bilioni ambapo TBC watakuwa na haki xa kutangaza mpira wa ligi kuu kwa upande wa Redio.

Makubaliano hayo yatakuwa no kwa miaaka 10 ambapo hakuna radio yoyote itakayo ruhusiwa kurusha matangazo hayo mpaka wapate kibali toka TBC.

Una maoni gani kwa deal hili?

Mods please naomba mbadilishe title isomeke TBC na sio ZBC
 
Watarusha mechi zote hadi za timu ndogo ?tunajua tbc waalivyo hovyo utashangaa watakuja kutangaza mechi za simba ,Azam ,yanga au hizi timu ndogo zikicheza na timu kubwa ila si timu ndogo kwa ndogo
 
TBC na TFF wameingia makubaliano yenye thamani ya Tshs 3.5bilioni ambapo TBC watakuwa na haki xa kutangaza mpira wa ligi kuu kwa upande wa Redio.

Makubaliano hayo yatakuwa no kwa miaaka 10 ambapo hakuna radio yoyote itakayo ruhusiwa kurusha matangazo hayo mpaka wapate kibali toka TBC.

Una maoni gani kwa deal hili?

Mods please naomba mbadilishe title isomeke TBC na sio ZBC
Nilitaka kushangaa ZBC hiyo wanaitoa wapi?
 
Mwanzo mzuri.....

Hatua huanza na moja....

Kongole Kwa uthubutu huo wa TBC......
 
Mimi siamini kabisa kama TBC na ZBC watalipa hizi pesa, pana uhuni unafanyika hapa
 
Tumepigwaaa

Utasikia wanakatisha matangazo wanarusha ziara ya mheshimiwa fulani....au moja kwa moja bungeni
 
Matangazo ya mpira kwa njia ya radio YouTube yamefikia tamati. Walianza Azam Media kubana urishwaji wa matangazo YouTube na mitandao mingine na sasa TBC nao wameingia kwa mtindo huo huo.

Watu wa YouTube wajikite sasa kufanya uchambuzi unaomzidi Mwalimu Kashasha, ikiwezekana mbali ya kutumia lugha ya Kiswahili tu basi watumie pia lugha ya kigeni kubwa ili tuendelee kuwasikiliza wale wenye account YouTube pia ktk majukwaa ya online za kuhusu mchezo wa soka.
 
Kongole kwa TBC na TFF. Viongozi wa TFF inaonyesha wako vizuri. Tumeshiriki kwenye Ubingwa wa mataifa ya Afrika, tumechukua Cecafa under 23, Simba wamefika Robo Fainali, wanaweza kubadili soka letu na kuwa ajira na biashara. Sasa hivi tunauza wachezaji mpaka bilioni 2!.
 
Back
Top Bottom