Swali la msingi Sana[emoji106]Katika huo mkataba vilabu vinafaidikaje
Bora maana zamani ilikuwa free
350 ni ndogo sana,wameshindwa kuwakazia pengine labda kwasababu ni media za Taifa ama?
Nilitaka kushangaa ZBC hiyo wanaitoa wapi?TBC na TFF wameingia makubaliano yenye thamani ya Tshs 3.5bilioni ambapo TBC watakuwa na haki xa kutangaza mpira wa ligi kuu kwa upande wa Redio.
Makubaliano hayo yatakuwa no kwa miaaka 10 ambapo hakuna radio yoyote itakayo ruhusiwa kurusha matangazo hayo mpaka wapate kibali toka TBC.
Una maoni gani kwa deal hili?
Mods please naomba mbadilishe title isomeke TBC na sio ZBC
Kutoka bure mpaka 350350 ni ndogo sana,wameshindwa kuwakazia pengine labda kwasababu ni media za Taifa ama?
Aheri ya nusu shari...
Mbeya City njooni huku tudai chetu mapemaKatika huo mkataba vilabu vinafaidikaje