ZD30 VS QD32 NA QD32Turbo Nissan Hardboday

ZD30 VS QD32 NA QD32Turbo Nissan Hardboday

usatz

Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
96
Reaction score
45
Nina Nissan Hardbaody J8 ya mwaka 2009,
Ilikuwa na ZD30 engine imekufaa.

Nataka kuweka Engine nyingine nimekutana na mafundi tofauti Kila Moja anamapendekezo yake ya engine ya kuweka,

Kwa mwenye uzoefu kati ya izo ZD30, QD32TI na QD32,
Nirudishe ipi wakuu,

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
wekaDz30 just lakin mbona nahisi nayo ina turbo mm nimekwambia hivo without any experience engine zenye turbo zina complication na sidhan kama ni rafiki sana na rough-road turbo inataka umakin wa oil na pia katka chunguzi zangu turbo haipendi mitetemo sana hardbord ni gari ya kazi ukiweka engine yenye turbo sidhan kama itafaa kuna mzee ana hardbord lakin ni kama ilishaua turbo gari ikawa inatoa moshi wa kwenda ninachotaka kusema ni kwamba turbo inataka mutu makini
 
Kama una pesa ya kununua Zd30 used nunua, kama mfuko haupo vizuri Chukua Qd32 haina shida wa magonjwa na inatumia mafuta vizuri
 
Nina Nissan Hardbaody J8 ya mwaka 2009,
Ilikuwa na ZD30 engine imekufaa.

Nataka kuweka Engine nyingine nimekutana na mafundi tofauti Kila Moja anamapendekezo yake ya engine ya kuweka,

Kwa mwenye uzoefu kati ya izo ZD30, QD32TI na QD32,
Nirudishe ipi wakuu,

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Imetufaaje?kwani kila mtu ana nissan?
 
Back
Top Bottom