Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 45
HII IKAE KWENYE SIASA INGAWA ZE COMEDY NI BURUDANI
Jana Masanja amemkandamiza LIVE Dr Slaa kwa kuigiza:
Dr Slaa alifukuzwa upadri kwa sababu ya kutembea na mwanamke.
Dr Slaa alifukuzwa upadri kwa sababu ya kula fedha za walemavu.
Dr Slaa anapaswa kuondoa kwanza boriti yake ya ufisadi kabla ya kutazama wengine.
Dr Slaa ametunga orodha ya mafisadi sio ya kweli kabisa.
Dr Slaa aliwahonga waandishi wa habari ili wasiandike ukweli kuhusu kufukuzwa kwake upadri sababu ya mwanamke na kula fedha za walemavu.
Masanja aliyakandamiza haya yote kama vile ni ukweli mtupu.
KIPIMA BARIDI: Je, Ze Comedy walikuwa sahihi?
Jinsi ya kushiriki kipima baridi, mpigie simu Meneja wa Ze Comedy Bwana Sekione Kitojo(Seki) kupitia 0787513633 kutoa jibu lako ama changia hoja yako hapa JF na kama unataka ujumbe umfikie mmiliki wa EATV bwana Reginald Mengi nitumie ujumbe kwenye ashabdala@yahoo.com
Asha