kwa mjibu wa tetesi za apa jamvini majina ya successive loan aplicant wa UDSM na UDOM,,yameshapelekwa vyuoni na HESLB tena mapemaaa,,,kwaiyo ze dudu tuletee ile kitu,,,,LOAN APLOADS FROM HESLB za udsm na udom
ze duduz ni nani yako?kwa mjibu wa tetesi za apa jamvini majina ya successive loan aplicant wa UDSM na UDOM,,yameshapelekwa vyuoni na HESLB tena mapemaaa,,,kwaiyo ze dudu tuletee ile kitu,,,,LOAN APLOADS FROM HESLB za udsm na udom
Kweli hii tcu na heslb kuna upendeleo!!majina yaliyotolewa na kujiunga chuo walitangulia kupata udom na udsm ....!na hii tena ya heslb sasa wengine tumeikosea nini hii Nchi kila taarifa sisi tunakuwa wa mwisho kuzipata wote tumeombea tcu wengine tumepelekwa vyuo vya kata..kila taarifa sisi tunakuwa wa mwisho kupata eeeee!! I hate thc year..Kweli kazi ipo mwaka huu
Kweli hii tcu na heslb kuna upendeleo!!majina yaliyotolewa na kujiunga chuo walitangulia kupata udom na udsm ....!na hii tena ya heslb sasa wengine tumeikosea nini hii Nchi kila taarifa sisi tunakuwa wa mwisho kuzipata wote tumeombea tcu wengine tumepelekwa vyuo vya kata..kila taarifa sisi tunakuwa wa mwisho kupata eeeee!! I hate thc year..
FCKn HOPELESS, HIVI HILI JUKWAA LAENDA WAPI?