Ze Duduz,sie wa UDSM,UDOM twakungojea baba!!!!

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
722
kwa mjibu wa tetesi za apa jamvini majina ya successive loan aplicant wa UDSM na UDOM,,yameshapelekwa vyuoni na HESLB tena mapemaaa,,,kwaiyo ze dudu tuletee ile kitu,,,,LOAN APLOADS FROM HESLB za udsm na udom
 
Kweli kazi ipo mwaka huu
 
ze duduz ni nani yako?
 
Last edited by a moderator:
nahisi hawa watu ndo wale waliojiunga na jf baada ya kusikia matokea ya ud yameonekana humu jf....mh kazi ipo.....
 
Kweli kazi ipo mwaka huu
Kweli hii tcu na heslb kuna upendeleo!!majina yaliyotolewa na kujiunga chuo walitangulia kupata udom na udsm ....!na hii tena ya heslb sasa wengine tumeikosea nini hii Nchi kila taarifa sisi tunakuwa wa mwisho kuzipata wote tumeombea tcu wengine tumepelekwa vyuo vya kata..kila taarifa sisi tunakuwa wa mwisho kupata eeeee!! I hate thc year..
 
Mkuu usiwe na hofu! HESLB hawawezi toa majina ya walio pata mikopo ya vyuo viweli tu!! ni kwamba mpaka sasa vyuo ambavyo applicants wake wamefanyiwa loan allocation ni UD na UDOM kwasababu waliwahi kupelekewa majina ya walio chaguliwa. loan allocation zitatoka pamoja bila upendeleo labda zivuje kwa njia zisizo sahihi.
 
Jamani tukumbuke kua heslb walishasema hawatapokea majina yoyote direct kutoka vyuoni ni TCU peke yake ndo wenye dhamana hiyo kwahiyo mi naona huu uvumi wa kwamba UDOM na UDSM waliwahisha majina hauna ukweli,HESLB na TCU pekee ndo wenye dhamana ya kutangaza successful applicants!

My recomendation: Lets be patient the names will be out no matter how long it takes!
 
Back
Top Bottom