Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masanja ajivue gamba.
Alaf eti anaimba nyimbo za injili na anataka kuzindua Album yake Lol
Lugha za matusi na kutukana watu ndo walidhani ndiyo uchekeshaji, ilifikia wakati inakuwa ngumu kuangalia na watoto au wakwe, Inabidi wabadilike sana kwani wao si wakubwa kama uchekeshaji wenyewe, nazikumbuka enzi za kina mzee Jangala, Kiatu, pia kina Pembe na maigizo yao