Zealandia: Kuna bara la nane chini ya New Zealand?

Zealandia: Kuna bara la nane chini ya New Zealand?

kwa nn mtu mweusi haundui kila kukicha wanagundua watu weupe tu kuna nn hapo au mungu kawapendelea
Ukisema Mungu kawapendelea,
Watu wa dini watakwambia unakufuru
 
kwa nn mtu mweusi haundui kila kukicha wanagundua watu weupe tu kuna nn hapo au mungu kawapendelea
Mkuu tunagundua mbona mzaramo kagundua mdundiko sema ndo hivyo promo ndogo tu
 
Halitaweza kutambulika kama ni bara la saba kwasababu maeneo yake mebgi yapo chini ya bahari/yamefunikwa na maji. Ni sehemu mbili tu ambazo zimechomoza juu ya maji kama visiwai, tena ni unhabitable covered by ice.
Watafanya hizo juhudi za kutambulika kama bara lakini wanaegeolojia wengi watarndelea kuvichukulia hivyo visiwa kama Zealandia
 
Back
Top Bottom