Son, are you completely opposed to these kind of projects? If so why would you? Aren't these malls going to create jobs for people? What about the tax revenue to be generated from all the businesses that will be leasing space in the mall?
Priorities son, priorities. Unapokuwa katika nchi masikini kama Tanzania every cent, especially ya forex, especially katika project inayokuwa funded na serikali kwa karibu %50 ni lazima iwe accounted.
Unapoongelea jobs unaongelea kutumia mamilioni ya dola za serikali, pamoja na hao investors wengine kutengeneza kazi ngapi? Hizi kazi ziko sustainable? Je fedha hizo zingeweza kutumika katika kutengeneza kazi zitakazoweza kutengeneza kazi nyingine in an organic manner? Sio tunatengeneza kazi zilizokuwa based on consumption, baada ya mwaka tunaona kumbe project nzima ilikuwa kazi ya economic hitmen, hata hao expatriates na mafisadi na upper class wachache hawawezi kutengeneza demand ya kutosha ku run this place at a profit, unaona watu wanafold businesses, na li mall linakuwa ghosttown.
Hivi mall of America pale Bloomington, Minnesota imeleta madhara gani kwenye mazingira na kwenye mom and pops stores? Au na wewe ni closet tree hugger?
Nimesema kuanzia na environmental impacts, nikimaanisha impacts zitakuwa nyingi sana. Ukitaka kuangalia environmental impacts associated with Mall of America angalia links hizo chini.
Environmental Impact Statement - Mall of America Phase II
Halafu hata kama Mall of America wamefanya sawa hii haimaanishi sisi tutafanya sawa pia, hatuna uchumi wao, hatuna dedication to enviromentalism waliyo nayo, hatuna regulatory bodies walizonazo.Na kama kuwa concerned na jinsi gani mipango ya hizi behemoth zitakavyokuja kuathiri maisha ya watu ni kuwa tree hugger then I am a tree hugger of the highest degree.
Tofauti ni kwamba wao wamejenga mijengo miingi na mikubwa huku tayari wanayo mingine ya kutosha tu. Sisi hatuna kabisa. Sasa hata hayo majengo mawili matatu yasijengwe jamani?
Tunaweza kujenga vitu vilivyo distributed, self-sustaining, vitakavyojengwa na scalability, kwa phases ili kulinda loss isitokee, sio kutumbukiza $ 33 m kama wajinga. Tayari unaona watu wameshaanza ku express doubt na investors washaanza kuchomoa.Hili tu lina validate concerns zangu kuliko chochote tunachoweza kusema hapa. Hivi kuna ubaya gani kujenga kwa phases 6 za kutumia $ 5 m each, au hata phases 3 za 4 10 m, mnajenga huku mnapata assurance ya kwamba project inakuwa in tune with purchasing power ya watu.This way, mkiona baada ya $ 10 m au $ 15 m mmefikia point of diminishing returns mnaacha kuinvest zaidi.Sio sisi, tukiuziwa ndoana na economic hitmen kwamba tuki invest zaidi haraka haraka ndivyo tutapata faida zaidi, tunadaka ndoana moja kwa moja.
Uliza watu wa ACG walivyokuja na mipango yao ya vitabuni kutoka Harvard School of Business, wakamwaga mi payphone booths all over Dar, na kuchapisha mikadi kibao, only to find that their pricing model did not consider that the people with money already had cellphones, and the ones who really needed payphones were mostly living under a dollar a day budget and could not afford their Americanized price model which considered a dollar to be a cheap price for a phonecall. Kwa hiyo moral of the story ni kwamba hivi vitu vingine vinaonekana vizuri kwenye karatasi, ukiviweka kwenye ground vinaanguka.Unasema tunahitaji malls zaidi, is this a fact? Hata kama tunahitaji ni lazima liwe behemoth kama hili?
Hoja nzuri. Nadhani serikali imefanya makosa kutenga huzi $18 milioni za ujenzi wa hiyo mall na miundombinu inayuzunguka eneo hilo. Nadhani wasingejihusisha na ujenzi wa mall. Wangebaki ktk kujenga tu hiyo miundombinu.
Serikali yetu inajicontradict kila siku, mara inajitoa katika biashara na kuuza mashirika ya umma.Mara inarudi katika kujenga malls.Ovyooo.
Not so fast...it may turn out to be a worthwhile investment in the end....
I can bet my last dollar this thing will fall flat face down, that is if it will attain lift off at all.Tayari major financiers washaanza kupata machale.