JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amesema kati ya wanajeshi 2,500 na 3,000 wa taifa lake wamepoteza maisha hadi sasa katika vita vya taifa hilo na Urusi na kwamba wengine 10,000 wamejeruhiwa.
Akizungumzia vita hiyo inayoelekea siku 50 tangu kuanza, Zelensky amesema ni vigumu kujua wanajeshi wangapi waliojeruhiwa watapona.
Hivi karibuni Urusi nayo ilitangaza kuwa wanajeshi wake 1,350 wameuawa katika vita hivyo tangu vianze.
Chanzo: DPA