Hivi zile silaha anazopewa Ukraine ni za manegani tu?Ant aircraft missiles,fighter jets nk ni silaha za mabegani?
Wakati Mimi naongelea Kitu ambacho ninataarifa nacho badala yake wewe unabumba TU.
Embu tuambie Siraha alizopewa Ukraine ambazo Ni kubwa zaidi ya zile za kubabwa Begani Kama STINGER MISSILES(Hizi zinalipua Low Flying Aircraft Kama Helicopter s tu,haziwezi kulipua High Altitude Flying Kama Fighter Jets),JAVERINE MISSILES(Hizi Ni Ant-Tank Missiles ambazo zinabebwa Begani,Zina Uzito wa 30Kg TU). Slovakia alipeleka Mifumo 2 TU ya S-300. Ujeruman alipeleka MASHINE GUNS ZA 50Cal za Kushambulia askali wa Miguu. Zaidi ya Hizo Siraha,Hakuna Siraha kubwa iliyopelekwa Nchini Ukraine.
1.Poland aliombwa ndege za Mig-29 lakini akala U-Turn,Ukraine akabaki Solemba.
2.Israel aliombwa Iron Dome na Ukraine ili azitungue ndege za Urusi lakini Israel akala U-Turn,Ukraine ikabaki peke yake.
3.Ujeruman aliombwa AEGS Air Defence System ili Ukraine azitungue Fighter Jets za Urusi ambazo zinashusha Maghorofa lakini Ujeruman akala U-Turn.
Kiufupi TU Ni kwamba,Ukraine ana Molale ya Kupigana lakini Hana Siraha. Ndio maana Miji mingi imesambaratika kwasababu Hana Mifumo ya Ulinzi wa Anga ya Uhakika zaidi ya S-300 ambazo zimetengenezwa na hao hao Urusi kwahiyo Ni Rahisi hata Kuzi-JAM.
Kama Ukraine angelikuwa na Mifumo ya Ulinzi wa Anga Imara Kama IRON DOME,DAVID SLING,PAC-3,AIEGS,Patriot basi hayo Magorofa unayoyaona yameangusha hivi Sasa yangelikuwa yamesimama. Urusi isingethubutu kupeleka FIGHTER JETS kwenye Anga la Ukraine,Zaidi zaidi zingelipelekwa Drones TU kwa wingi ambazo haziwezi kubeba LARGE PAYLOAD.
Baada ya Vita vya Ukraine,Mataifa mengi yatapeleka Wanajeshi wao kujifunza jinsi ya Kutumia Siraha kwenye Mataifa Makubwa. Hii Ni kwasababu,Mpaka sasa Marekani anashindwa kuwapa Ukraine Siraha kubwa kwasababu hawawezi kuzitumia. Mfano Ni HAWITZER CANNON MISSILES. Hizi Ni Aina ya Makombora yaliyoboreshwa yenye Uwezo wa kupiga 100Km. Mpaka sasa Ukraine inatumia HOME MADE ANTI-SHIP MISSILES Aina ya NEPTUNE ambazo Range yake Ni Ndogo Sana (Only 15Km). Kwahiyo Russia anatumia LONG RANGE ARTERARY kupiga Ndani ya Ukraine na Ukraine hawezi kuzishambulia kwasababu Hana LONG RANGE MISSILES. Lakini Kama angelipata HAWITZER CANNON nadhani Mambo yangelibadilika Sana.