Zelensky aitembelea au akimbilia Marekani?

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Kwa mara ya mwanzo tangu vita vianze raisi Zelensky wa Ukraine ameondoka nchini mwake kuelekea Washington ili kukutana na Rais Biden.

Huku safari ikiwa imeiva nchi nzima ilisikika ving'ora vikiashiria makombora yanayotembea angani kutafuta shabaha zake.

Hapo jana kwa mara ya tatu katika wiki hii vinu vya umeme vya mji wa Kyiv vilishambuliwa kwa droni za Urusi na kuzidi kuwakatisha tamaa raia na viongozi wao juu ya upatikanaji wa umeme.

Mashambulizi ya mara tatu kwa wiki inaonekana ni ujumbe maalum Urusi uliyotaka uwafikie watu wa Ukraine.

Katika hali kama hii kuondoka kwa raisi Zelensky ni kuishiwa na kukimbilia kwa wafadhili wake auj ni ziara ya kuendelea kulia lia kwa wafadhili hao.

Na jee makamanda wake watamruhusu kurudi tena nchini humo kuzidi kuiangamiza nchi yao.?
 
Maoni yako nayaheshimu lakini utakuwa na mgonjwa wa akili.

Kama Zelensky alishindwa kuikimbia Ukraine wakati majeshi ya Urusi yalipokuwa yapo umbali wa 12km kutoka mji mkuu wa Kiev,harafu eti aje kukimbia baada ya majeshi ya Urusi kufurumishwa kwenye vimikoa vya Mipakani huko? Msafara wa Magari ya Kijeshi wa 64km haukumuogopesha harafu leo Zelensky anapelekewa Silaha nzito hasa PATRIOT kutoka Marekani harafu eti akimbie?

Unahitaji ugonjwa wa akili ili kukubaliana na huu uharo uliouandika.
 
Binafsi,ninao waona ni wajinga kupitiliza ni makamanda wake - at least mmoja wa makamanda wa Senselesky kasema ukweli juzi kwamba "Jeshi la Ukraine kujifanya linaweza kushinda jeshi la Urusi hizo ni kama ndoto za mchana!!Kwa bahati mbaya kuna wanao amini jeshi la Ukraine kwamba litashinda likisaidiwa kwa kificho na troops wa jeshi la NATO/US waliovalia uniform za jeshi la Ukraine.
 
mleta uzi karibu nyama choma toka melitapol
IMG_1737.jpg

IMG_1738.jpg
 
Tunaomba chanzo cha hadithi yako.
 
Binafsi,ninao waona ni wajinga kupitiliza ni makamanda wake - at least mmoja wa makamanda wa Senselesky kasema ukweli juzi kwamba "Jeshi la Ukraine kujifanya linaweza kushinda jeshi la Urusi hizo ni kama ndoto za mchana!!Kwa bahati mbaya kuna wanao amini jeshi la Ukraine kwamba litashinda likisaidiwa kwa kificho na troops wa jeshi la NATO/US waliovalia uniform za jeshi la Ukraine.
Jana Babu Putin amekiri hadharani kwamba Hali zao huko Ukraine ni mbaya vipi hili nalo unalizungumziaje?!!!!

Maoni yako nayaheshimu lakini utakuwa na mgonjwa wa akili.

Kama Zelensky alishindwa kuikimbia Ukraine wakati majeshi ya Urusi yalipokuwa yapo umbali wa 12km kutoka mji mkuu wa Kiev,harafu eti aje kukimbia baada ya majeshi ya Urusi kufurumishwa kwenye vimikoa vya Mipakani huko? Msafara wa Magari ya Kijeshi wa 64km haukumuogopesha harafu leo Zelensky anapelekewa Silaha nzito hasa PATRIOT kutoka Marekani harafu eti akimbie?

Unahitaji ugonjwa wa akili ili kukubaliana na huu uharo uliouandika.
Patriot iliwahi kufanya maajabu gani - zaidi ya magizo ya vita ya Ghuba -ndege za vita za NATO zilapewa jukumu moja nalo ni kuzisaka SCUD za Saddam Hussein UsIku na mchana, Kama kweli Patriot zilikuwa zaidi katika ulinzi wa anga yanini kuongeza squadrons za ndege kusaka silaha/SCUD za Saddam Hussein na sio kutegemea Patriot!!!

Sina Shaka una habari jinsi Patriot zilivyo shindwa kukilinda kituo kikuu Saudi Arabia Petroleum Complex kikaripuliwa no home made rockets za insurgent squad - Complex nzima ikahungua yote -Patriot iliwasaidia nini?? Hapo hatujazungumzia kuhusu kambi mbili za jeshi la Merikani nchini Iraq zilizo tiwa kiberiti na roketi 12 za Iran kambizotembili zilikuwa zinalindwa 24X7 na Patriot air defense systems ukiwekea maanani ni kwamba kambi zenyewe ni za kijeshi lakini bado Wairan waliweza kuzishambulia - Patriots zipo kwenye lindo la kimangushi - kazi, us wenzetu haha ni kuharibia sifa air defense systems za mataifa mengine/shindani specifically S-300/350/400/500/550 kwamba hazina sifa -ulaghai mtupu, safari za kwao zikifanyiwa mahesabu nakuanzakupigwa wanalalamika kama nini - hats Patriot hazitabadirisha chochote Ukraine, hata akili za kujiuliza kwa nini Patriot air defense za Saudi Arabia Petroleum industrial Complex,je,za kambi mbili ya jeshi huko Iraq mbona zote hazikufanya kazi,je, kuna watu wanawazidi akili nini??

Hata Patriot zikipelekwa Ukraine matokeo yatatakuwa haya haya we sema yata kuwa mabaya zaidi maana Lancent kamikaze atakuwa ana-jam air defense system mzima kwanza halafu inalilipuliwa moja kwa moja into smithereens.
 
Patriot za 1991 na za Leo sio Sawa zimepitia modification tofauti tofauti,wakati ule walikua Wana PAC 1 sasa Wana PAC 2 & PAC 3 ambayo karibu kila mwezi inadaka ballistic missile za Houthi kule Saudia mpaka Saudia juzijuzi hapa ametoa order nyingine ya Makombora 300 ya Patriot.
Tukija kwenye swali lako,hata Leo Russia anahangaika kuzitafuta Himars ili aziharibu kwanini hategemei air defense zake zidake zile rocket za Himars?!

Kama ulifatilia vizuri kile kituo cha Saudia kilishambulia Kwa drones nyingi na maroketi ambayo Patriot haikutengenezwa kujilinda nazo,Patriot ni maalum Kwa ndege, Ballistic Missiles na Cruise missiles.
Baada ya lile tukio Saudi Arabia iliongeza Ulinzi dhidi ya drones na mpaka sasa hatujasikia drone zikishambulia vituo vya mafuta. Na karibu kila mwezi Houthi wanamimina Ballistic Missiles ambazo zinadakwa na Patriot.

Tukija kwenye System za Russia,juzi hapa Ukraine imerusha drone za miaka ya sabini,drone zimeruka toka Ukraine mpk ndani ya Urusi zaidi ya 600km hakuna system iliyofanikiwa hata kuziona kwenye Rada mpk zikaenda kupiga kambi kubwa ya jeshi la Urusi ambayo ipo 120km toka Moscow na kuharibu Tu-95 nuclear bombers.

Wakati Iran anashambulia kambi za US Marekani haikua na Patriot kule Iraq sababu serikali ya Iraq ilikataa Marekani isiweke hizo system lakini baada ya Ballistic Missiles za Iran kutua kwenye kambi za US ndipo Marekani ikapeleka Patriot.

Iran walishambulia zile kambi January 2020, Marekani ikapeleka Patriot March 2020...sasa unatuambiaje kwamba Patriot ilishindwa kuzidaka ballistic missile wakati hazikuepo wakati Iran inafanya hilo shambulizi lake la makombora?!

The United States is awaiting a green light from the Iraqi government to deploy Patriot missile defense systems to protect US troops from Iranian missile attacks, Pentagon chief Mark Esper said on Thursday.

Iran launched 11 missiles at a US air base at Ain al-Assad and another at a base in Erbil on January 8 in retaliation for the killing days earlier of Iranian General Qassim Soleimani in a US drone strike in Baghdad.
US awaits Iraq’s okay to deploy Patriots to protect troops amid Iran tension

Baada ya USA kupeleka Patriot Iran ikaanza kulalama
Iran warns US after Patriot missile deployment to Iraq
United States reportedly deploying Patriot missiles in Iraq to counter possible Iranian rocket attacks.
Iran warned the United States it is leading the Middle East to disaster amid the coronavirus pandemic after reports that Patriot air defence missiles were deployed to Iraq.

Washington had been in talks with Baghdad about the proposed deployment since January, but it was not immediately clear whether it secured its approval or not. Iran, which wields huge influence in its western neighbour, said it had not
Iran warns US after Patriot missile deployment to Iraq
 
Maoni yako nayaheshimu lakini utakuwa na mgonjwa wa akili.

Kama Zelensky alishindwa kuikimbia Ukraine wakati majeshi ya Urusi yalipokuwa yapo umbali wa 12km kutoka mji mkuu wa Kiev,harafu eti aje kukimbia baada ya majeshi ya Urusi kufurumishwa kwenye vimikoa vya Mipakani huko? Msafara wa Magari ya Kijeshi wa 64km haukumuogopesha harafu leo Zelensky anapelekewa Silaha nzito hasa PATRIOT kutoka Marekani harafu eti akimbie?

Unahitaji ugonjwa wa akili ili kukubaliana na huu uharo uliouandika.
... teh! Umemheshimu psychiatric. Kongole kwako.
 
Kwa mara ya mwanzo tangu vita vianze raisi Zelensky wa Ukraine ameondoka nchini mwake kuelekea Washington ili kukutana na Rais Biden.

Huku safari ikiwa imeiva nchi nzima ilisikika ving'ora vikiashiria makombora yanayotembea angani kutafuta shabaha zake.

Hapo jana kwa mara ya tatu katika wiki hii vinu vya umeme vya mji wa Kyiv vilishambuliwa kwa droni za Urusi na kuzidi kuwakatisha tamaa raia na viongozi wao juu ya upatikanaji wa umeme.

Mashambulizi ya mara tatu kwa wiki inaonekana ni ujumbe maalum Urusi uliyotaka uwafikie watu wa Ukraine.

Katika hali kama hii kuondoka kwa raisi Zelensky ni kuishiwa na kukimbilia kwa wafadhili wake auj ni ziara ya kuendelea kulia lia kwa wafadhili hao.

Na jee makamanda wake watamruhusu kurudi tena nchini humo kuzidi kuiangamiza nchi yao.?
Amekimbia Kijiji chake kinawashwa moto

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20221221-221358~2.jpg

Back
Top Bottom