Zelensky aitembelea au akimbilia Marekani?

Jana Babu Putin amekiri hadharani kwamba Hali zao huko Ukraine ni mbaya vipi hili nalo unalizungumziaje?!!!!

Soon anaachia ngazi huko Ukraine. Kauli hii ni moja ya kukubali matokeo.
 
Kwa mara ya mwanzo tangu vita vianze raisi Zelensky wa Ukraine ameondoka nchini mwake kuelekea Washington ili kukutana na Rais Biden.

Huku safari ikiwa imeiva nchi nzima ilisikika ving'ora vikiashiria makombora yanayotembea angani kutafuta shabaha zake.

Hapo jana kwa mara ya tatu katika wiki hii vinu vya umeme vya mji wa Kyiv vilishambuliwa kwa droni za Urusi na kuzidi kuwakatisha tamaa raia na viongozi wao juu ya upatikanaji wa umeme.

Mashambulizi ya mara tatu kwa wiki inaonekana ni ujumbe maalum Urusi uliyotaka uwafikie watu wa Ukraine.

Katika hali kama hii kuondoka kwa raisi Zelensky ni kuishiwa na kukimbilia kwa wafadhili wake auj ni ziara ya kuendelea kulia lia kwa wafadhili hao.

Na jee makamanda wake watamruhusu kurudi tena nchini humo kuzidi kuiangamiza nchi yao.?
Kumbe ww Humjui Zelensky ilaha unapiga piga ramli (saa habari)
 
Hii ndo nafasi muhimu kwa CDF wa Ukraine kumaliza vita.
Amwambie Zele abaki huko huko, jeshi lichukue nchi kisha wakae mezani wayajenge na Putin
 
Kwa mara ya mwanzo tangu vita vianze raisi Zelensky wa Ukraine ameondoka nchini mwake kuelekea Washington ili kukutana na Rais Biden.

Huku safari ikiwa imeiva nchi nzima ilisikika ving'ora vikiashiria makombora yanayotembea angani kutafuta shabaha zake.

Hapo jana kwa mara ya tatu katika wiki hii vinu vya umeme vya mji wa Kyiv vilishambuliwa kwa droni za Urusi na kuzidi kuwakatisha tamaa raia na viongozi wao juu ya upatikanaji wa umeme.

Mashambulizi ya mara tatu kwa wiki inaonekana ni ujumbe maalum Urusi uliyotaka uwafikie watu wa Ukraine.

Katika hali kama hii kuondoka kwa raisi Zelensky ni kuishiwa na kukimbilia kwa wafadhili wake auj ni ziara ya kuendelea kulia lia kwa wafadhili hao.

Na jee makamanda wake watamruhusu kurudi tena nchini humo kuzidi kuiangamiza nchi yao.?
ahsante sana kwa update nzuri sana.
 
Amekimbilia kwa wafadhili wake kenge maji kabisa anatumika na shoga mkuu
 
Putin akitoka tuu hapo wahuni wanatangaza Urais ndio maana hataki kabisa mambo hizo ukiona Rais kipindi cha Vita anaweza kusafiri na kurudi Nchini mwake jua ulinzi na usalama upo Putin aende hata yale maeneo aliyochukua kama anavyofanya Zelensky kama hadithi haijaishia huko...
 
Back
Top Bottom