Zelensky aitembelea au akimbilia Marekani?

Zelensky hawezi kukimbia nchi tena maana hakuna kitisho cha kumuua kikubwa (japo hakikosekani)..

....Ila wavamizi kwa Sasa wapo kwenye defensive.
Axel Lloyd T14 Armata dudus Jackal
 
Nilijua tu Lazima zelensky akimbie nchi,
Kwa Hii winter na Vita inayoendelea

umeme na maji hamna,
hawez kuendelea kujificha mapangoni[emoji4]
 
Huyo kamanda ni nani, ana cheo gani na kayasema wapi
 
Zelensky hawezi kukimbia nchi tena maana hakuna kitisho cha kumuua kikubwa (japo hakikosekani)..

....Ila wavamizi kwa Sasa wapo kwenye defensive.
Axel Lloyd T14 Armata dudus Jackal
Hakusema haya pale Putin alivyofanya ziara Iran kuomba suicide drones. Mara ngapi Bashar al Assad anafanya ziara nchini Russia na anarudi kwake tangu vita ianze nishaona ziara kama nne. Naye akifanya ziara tuseme anatoroka
 
Kwa nn analenga raia wasio wanajeshi. Eti analipua bembea za watoto na vyanzo vya umeme na maji.
Apambane na wajeda wenzake tuone.



Tunachokijua:
Vita vikishtadi huwa havina macho.Kila mara adui yako unamtengenezea picha mbaya kwa watu hata kama na wewe unafanya unyama zaidi yake.
 
Russia haina air defence system ya maana kama inavyojitapa. Ndio nchi kubwa inayojitutumua ambayo air base imeshambuliwa kwa anga, flagship ya fleet imepigwa na kombora, naval HQ zimepigwa na drone na vituo vya mafuta vimelipuliwa. Hii ni airbase imepigwa
 
mrusi wa buza na kibera nyie mkiwa twitter mnadanganywa sana na jama mmoja anajiita njiwa
 
Mashambulizi ya mara tatu kwa wiki inaonekana ni ujumbe maalum Urusi uliyotaka uwafikie watu wa Ukraine.
Kuna ujumbe gani mpya putin anataka ufike ukraine wakati alishaivamia kivita?
Kama ni ujumbe basi alishatuma muda mrefu na mpaka sasa tunaelekea kumaliza mwaka.
Kiufupi puyin na urusi yake ni supa pawa ya makaratasi.
 
Na jee makamanda wake watamruhusu kurudi tena nchini humo kuzidi kuiangamiza nchi yao.?
Unaongelea makamanda gani? juzi hukumuona amewatembelea front line tofauti na putini aliyejichimbia ndani,anaogopa mpaka kivuli chake,
tuambie putin alienda line ukraine kuwaona watu wake alioamua kuwatoa kafara?
 
Kuna ujumbe gani mpya putin anataka ufike ukraine wakati alishaivamia kivita?
Kama ni ujumbe basi alishatuma muda mrefu na mpaka sasa tunaelekea kumaliza mwaka.
Kiufupi puyin na urusi yake ni supa pawa ya makaratasi.
Tuseme ni ujumbe mpya. Kwamba wewe nenda na sisi tupo kazini.
ukiachana na muda ujliochukua vita mpa sasa angalia idadi ya upande wa Zelensky na ukubwa wa majeshi na silaha walizonazo.Mpaka sasa wanapigana na mwamba mmoja tu.
Upande wa Urusi kwa mbali tunamuona Iran.Upande wa Zelensky kuna Uiengereza inakusanya data ya silaha za Urusi na mahali zilipo kila siku na kutoa tathmini ya kumtia moyo kibaraka wao.Upande mwengine nchi zote za Nato kila moja inatoa silaha zake za kizamani na mpya kuipa Ukraine.
 

zaidi ya uzi. nimekusoma kamanda kwa nguvu ya tano. ova
 
Yaan baada ya kuidunda Russia ndo akimbie?
 
Which Russia bro
 
Mkuu , kwaninni mrusi anakwepa vita ya Ardhini ?
 
Mkuu kwanini jeshi la Urusi kwa sasa limepunguza mashambulizi ya ardhini na badala yake nguvu kubwa wameiweka kwenye matumizi ya drones ?
 
Mkuu kwanini jeshi la Urusi kwa sasa limepunguza mashambulizi ya ardhini na badala yake nguvu kubwa wameiweka kwenye matumizi ya drones ?
Ukipigana na mwenzio usipigane kwa kushinikizwa na watu wa pembeni.Mbinu za kupiga na kujitetea chagua mwenyewe..Si lazima upigane kama kuku kuchi.Kutumia droni na makombora ya masafa marefu kwa sasa ni mbinu bora kwa mrusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…