pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,296
- 6,692
Kuzuilika anaweza tatizo mataifa makubwa yanata advantages ya superiorKama hizo habari zikiwa za kweli nani atakayemzuia Putin kufanya hicho kitu, nawaona wote hadi magharibi wanalalamika tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuzuilika anaweza tatizo mataifa makubwa yanata advantages ya superiorKama hizo habari zikiwa za kweli nani atakayemzuia Putin kufanya hicho kitu, nawaona wote hadi magharibi wanalalamika tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila dunia ina vichekesho hii, eti wanajeshi wa urusi wamekufa, wa Ukraine wanalala? Eti siku 60 hajapata anachotaka, tueleze alikua anataka nini? Wanajeshi wanazikwa hai huko mariupol hao nato hawaoni? Na hakuna makubaliano ya mezani this time around.Putini ni kama vile kachanganyikiwa siku 60 zimekatika hajapata hitajio lake ata 1, aliita operation kwa makadirio ya siku chache tu hivi sasa inamkost muda zaidi wanajeshi wake pia wanafariki unexpected, hela nyingi anatumia kwa kila siku ya vita na vikwazo mpaka nywele wadadisi wa mambo wanasema Putin ana stress mpaka balaa akili yake sasa inawaza kupiga nuclear tu ndicho kilichobaki kumaliza biashara lakini hafahamu kwamba ndio ataenda kujimaliza kabisa kabisa, Nato wanamuangalia kwa macho manne endapo atapiga nuclear atakavyoshughulikiwa vigorously tena on time.
Putini hitajio lake no1, ametaka cremea kuwa sehemu ya russia, no.2 ametaka Donbas kuwa huru, no.3 ametaka Ukraine isijiunge na Nato lakini na European Union[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila dunia ina vichekesho hii, eti wanajeshi wa urusi wamekufa, wa Ukraine wanalala? Eti siku 60 hajapata anachotaka, tueleze alikua anataka nini? Wanajeshi wanazikwa hai huko mariupol hao nato hawaoni? Na hakuna makubaliano ya mezani this time around.
We jamaa unaongeaga pumba tu
Tunamuona Putin 60 days passed operation on going., alifikiri anaenda kumtoa Zelensky madarakani kama vile kumpiga chura tekeNATO wanachoweza ni kutuma silaha na wanajeshi wastaafu, vitoto vyao vimejifungia ndani vinakua, Putin ni zaidi ya NATO
Mbona US kakaa miaka 20 Afghastan na bado nchi imerudi kwa Taliban?Operation inakwenda vizuri kabisa ndio maana kila siku Zelensky anabwekaTunamuona Putin 60 days passed operation on going., alifikiri anaenda kumtoa Zelensky madarakani kama vile kumpiga chura teke
Wapunguzie doz mkuu, watazimia hao.Putini hitajio lake no1, ametaka cremea kuwa sehemu ya russia, no.2 ametaka Donbas kuwa huru, no.3 ametaka Ukraine isijiunge na Nato lakini na European Union
Ndio mana nimeandika hajapata Cremea, wala Donbas mana vita inaendelea bado, kuhusu Nato Zelensky amesema atafanya referendum kuwauliza Wa-Ukraine kama wanataka au la lakini European Union kila mmoja ameshuhudia duniani Zelensky akikabidhiwa mafomu ya kujiunga na umoja wa ulaya tena mchana kweupe ni vile process zinaendelea kwa vile kuna taratibu mpaka zikamilike.
Hadi sasa Zelensky bado ni Rais wa Ukraine na anadunda Kyiv, anafanya mikutano Kyiv ujumbe wowote anaotaka kukutana nao wanamfata Kyiv akiwa salama kabisa ndio mana nimesema Putin ana stress sana kuona haya yote yanafanyika yeye hana ubavu kuzuia., Alifikiria Donbas kashaipata pale mapema alipovamia mpaka kupachika mabendera yake lakini wapi, alivyoshindwa Kyiv vidume vimemtilia team huko huko na Cremea pia kwa mujibu wa Zelensky Ukrain haitakuwa tayari kupoteza eneo lake ata inch. On top of that majenerali 9 wameenda na maji ndio mana juzi kamleta mpya kutoka Syria aliyekuwa ndo huyo anapiga mabomu bila mpango akiwa mbali na Ukraine.
Angalia ramani kama unajua kusoma utakuta russia yuko maeneo ya pembeni pembeni bado kwa siku 60 alizovamia
Hizo sehemu hadi Mariupol IPO chini ya warusi na bado Warusi wanaendelea kuchukua miji mengine.Putini hitajio lake no1, ametaka cremea kuwa sehemu ya russia, no.2 ametaka Donbas kuwa huru, no.3 ametaka Ukraine isijiunge na Nato lakini na European Union
Ndio mana nimeandika hajapata Cremea, wala Donbas mana vita inaendelea bado, kuhusu Nato Zelensky amesema atafanya referendum kuwauliza Wa-Ukraine kama wanataka au la lakini European Union kila mmoja ameshuhudia duniani Zelensky akikabidhiwa mafomu ya kujiunga na umoja wa ulaya tena mchana kweupe ni vile process zinaendelea kwa vile kuna taratibu mpaka zikamilike.
Hadi sasa Zelensky bado ni Rais wa Ukraine na anadunda Kyiv, anafanya mikutano Kyiv ujumbe wowote anaotaka kukutana nao wanamfata Kyiv akiwa salama kabisa ndio mana nimesema Putin ana stress sana kuona haya yote yanafanyika yeye hana ubavu kuzuia., Alifikiria Donbas kashaipata pale mapema alipovamia mpaka kupachika mabendera yake lakini wapi, alivyoshindwa Kyiv vidume vimemtilia team huko huko na Cremea pia kwa mujibu wa Zelensky Ukrain haitakuwa tayari kupoteza eneo lake ata inch. On top of that majenerali 9 wameenda na maji ndio mana juzi kamleta mpya kutoka Syria aliyekuwa ndo huyo anapiga mabomu bila mpango akiwa mbali na Ukraine.
Angalia ramani kama unajua kusoma utakuta russia yuko maeneo ya pembeni pembeni bado kwa siku 60 alizovamia
Ukrean wamekataa jana izo ni propaganda za putin, mbona russia walitoa masaa ukraine waeke silaha chini na kama kweli mji upo chini yao?? muda umeisha leo asubuhi ukraine wanajibu watapigana mpaka dakika ya mwisho, hakuna mavi yoyote yaliyo chini ya WarusiHizo sehemu hadi Mariupol IPO chini ya warusi na bado Warusi wanaendelea kuchukua miji mengine.
Sijui ni nchi gani afrika, nilitaka kusema afrika kusini ila baada ya kuchunguza uchumi na yale madude yanavyohitaji budget nikaiondoa haraka.Hizo nchi zote zina counter measures za Nukes.... Swali ni je Afrika tuna hizi measures?
Maji yapo shingoni mkuu.Yaani anajua silaha zitatumika kwake Ukraine, halafu anasema anaitahadharisha dunia! Wakati wao ndiyo wataathirika shenzi Sana huyo!
Atafute Amani! Miezi miwili hakuna beberu aliyepeleka majeshi yake openly kumsaidia, wanachapika wao wenyewe!
hv upo timamu kwel , unaandika km vile Ukraine ni taifa kubwa na imara kuliko kitovu cha tatizo ( Urusiv)Hafai kuongoza Ukraine aliahidi kumaliza mgogoro Ukraine ya mashariki matokeo yake Ukraine yote iko vitani
akili zako ndo zimeiishia hapo?Wewe tumekuchoka bwana na kulia lia kwako hebu tulia
ttzo huna akilKweli huyu ni mwanamke, anajua kulialia sana. Tangu vita ianze yeye ni kulialia tu.
Anayem do ana raha sana
Hana akili KENGE yule acha waendelee kutiwa adabu maana hawanaYaani anajua silaha zitatumika kwake Ukraine, halafu anasema anaitahadharisha dunia! Wakati wao ndiyo wataathirika shenzi Sana huyo!
Atafute Amani! Miezi miwili hakuna beberu aliyepeleka majeshi yake openly kumsaidia, wanachapika wao wenyewe!