Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Apr 3, 2022 #21 Naby Keita said: Watu wanabadili mbinu..........walishasema awamu ya kwanza imekamilika..........hii kitu kuisha bado sana Click to expand... Watamaliza nayo mwaka. Atakama ikiishia urusi hawezi kuondoa majeshi yake yote iyo nchi ataweka base kama ilivyokua kwa marekani kule Afghanistan
Naby Keita said: Watu wanabadili mbinu..........walishasema awamu ya kwanza imekamilika..........hii kitu kuisha bado sana Click to expand... Watamaliza nayo mwaka. Atakama ikiishia urusi hawezi kuondoa majeshi yake yote iyo nchi ataweka base kama ilivyokua kwa marekani kule Afghanistan
4by94 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2019 Posts 9,214 Reaction score 8,306 Apr 3, 2022 #22 Bwana Utam said: Kama kweli hii nihabari njema sana Watege mabomu yakutosha ili watu wengi wafe vyakutosha VIVA PUT IN Click to expand... kwa vichekesho hv bonyeza #
Bwana Utam said: Kama kweli hii nihabari njema sana Watege mabomu yakutosha ili watu wengi wafe vyakutosha VIVA PUT IN Click to expand... kwa vichekesho hv bonyeza #
4by94 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2019 Posts 9,214 Reaction score 8,306 Apr 3, 2022 #23 Akili ya kubeti said: Sasa Kama jeshi la Urusi dhaifu wapelekeni NATO wakalimalize Click to expand... kwan Ukraine ni mshirika wa NATO?hata misaada wanayotoa ni ya kibindamu tu ila sio kama mshirika
Akili ya kubeti said: Sasa Kama jeshi la Urusi dhaifu wapelekeni NATO wakalimalize Click to expand... kwan Ukraine ni mshirika wa NATO?hata misaada wanayotoa ni ya kibindamu tu ila sio kama mshirika
4by94 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2019 Posts 9,214 Reaction score 8,306 Apr 3, 2022 #24 Bess said: Sasa mbona Krimea ilichukuliwa kiajabu ajabu bila resistance? Click to expand... Urusi inamzid Ukraine mbali sana hivyo waliohofia kukuza mgogoro ila this time again , Putin kanogewa so atajilipa tamaa zake
Bess said: Sasa mbona Krimea ilichukuliwa kiajabu ajabu bila resistance? Click to expand... Urusi inamzid Ukraine mbali sana hivyo waliohofia kukuza mgogoro ila this time again , Putin kanogewa so atajilipa tamaa zake
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 3, 2022 #25 Propaganda...