Zelensky awaagiza wasaidizi wake kukataa mpango wa Marekani wa kupata madini adimu kutoka Ukraine

Zelensky awaagiza wasaidizi wake kukataa mpango wa Marekani wa kupata madini adimu kutoka Ukraine

Heavy Heritage

Senior Member
Joined
Feb 18, 2025
Posts
130
Reaction score
80
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amewaagiza wasaidizi wake kukataa pendekezo kutoka kwa maafisa wa utawala wa Trump ambalo lingewapa Marekani upatikanaji mkubwa wa madini adimu ya Ukraine, afisa mmoja wa Ukraine aliye karibu na Zelenskyy amethibitisha kwa NBC News.

Maafisa wa Marekani walisema kuwa pendekezo hilo lingekuwa kama njia ya kulipa msaada ambao Washington imeipa Kyiv tangu vita vyake na Urusi kuanza.

Hata hivyo, kwa mujibu wa msaidizi huyo wa karibu wa rais wa Ukraine, Zelenskyy alihisi kuwa makubaliano hayo hayakuwa na dhamana za kutosha za kiusalama kwa Ukraine.

================================================

Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy has told his aides to reject Trump administration officials' proposal that would grant the United States significant access to Ukraine’s rare earth minerals, a Ukrainian official close to Zelenskyy confirmed to NBC News.

U.S. officials said the proposal would be a form of repayment for the support Washington has provided Kyiv since its war with Russia began, but according to the aide close to him, Zelenskyy did not feel the agreement included adequate security guarantees for Ukraine.

Treasury Secretary Scott Bessent first proposed the draft agreement, which would have granted the United States 50% ownership of Ukraine’s rare earth minerals, to Zelenskyy last week, NBC News reported.

“I didn’t let the ministers sign a relevant agreement because in my view it is not ready to protect us, our interest,” Zelenskyy said at the Munich Security Conference in a quote first reported by The Associated Press on Saturday.
A U.S. official called Zelenskyy’s response to the offer “short-sighted,” adding that it would secure an “enduring partnership” between the two countries.

“Binding economic ties with the United States will be the best guarantee against future aggression and an integral part of lasting peace. The U.S. recognizes this, the Russians recognize this, and the Ukrainians must recognize this,” the official said.

U.S. officials briefed on the proposal signaled an openness to deploying American troops to Ukraine to guard the minerals — but only after a deal with Russia to end the war was agreed to

Source: NBC News
 

Zelenskyy tells aides to reject U.S. pitch for 50% of Ukraine’s rare earth minerals​

 
Marekani lazima atachukua hayo madini zelensiky akijichanganya atauawa
Itakuwa hivyo, Ukraine kuna nickel na lithium na madini mengine mengi ambayo inaonekana ni muhimu zaidi katika masuala ya kijeshi, magari ya umeme kwa sasa, sumaku n.k...
 
Sasa ndio anajidai yeye anayo Akili Wakati anamleta Mzungu kwake alijiona mjanja sasa Mzungu Kafiri tuliambiwa na Wazeee wetu!!!!

Ona sasa Tramp na Putin Wanaenda gawana rasilimali za Ukraine!!! mchana kweupe Uku kwetu napo kuna Zalensky mpya anataka Urais uku mkewe na watoto wanafadhiliwa kusoma kwa Tramp

!!!! Akili kama tunafugia nywele au chawa!! lile deni pesa ya Marekani utailipia tu Siku moja lau uwape mgodi au mbuga sie yetu macho!!!!! Ila Tz tunae Zalensks wetu anatafuta Urais!!!!!
 
Serikali yetu sikivu kila ikitaka kumpa nafasi nyengine uyu Zalensky ili kujua undani wake Zalensky !!!! Serikali inataka kumpa Nafasi lkn yeye ataki sasa tutajuaje nia yake kuwatumikia wananchi au Wakala wawa ZUNGU anakwambia anautaka Urais tu sio cheo kingine!!!!! Kaanza na kumlima mtama kakake mzee Mbowe !!!!! Sie yetu macho!!!!!
 
Serikali yetu sikivu kila ikitaka kumpa nafasi nyengine uyu Zalensky ili kujua undani wake Zalensky !!!! Serikali inataka kumpa Nafasi lkn yeye ataki sasa tutajuaje nia yake kuwatumikia wananchi au Wakala wawa ZUNGU anakwambia anautaka Urais tu sio cheo kingine!!!!! Kaanza na kumlima mtama kakake mzee Mbowe !!!!! Sie yetu macho!!!!!
Akili huna
 
Sasa ndio anajidai yeye anayo Akili Wakati anamleta Mzungu kwake alijiona mjanja sasa Mzungu Kafiri tuliambiwa na Wazeee wetu!!!!

Ona sasa Tramp na Putin Wanaenda gawana rasilimali za Ukraine!!! mchana kweupe Uku kwetu napo kuna Zalensky mpya anataka Urais uku mkewe na watoto wanafadhiliwa kusoma kwa Tramp

!!!! Akili kama tunafugia nywele au chawa!! lile deni pesa ya Marekani utailipia tu Siku moja lau uwape mgodi au mbuga sie yetu macho!!!!! Ila Tz tunae Zalensks wetu anatafuta Urais!!!!!
Uchaguzi unakaribia😂😂😂😂
 
Serikali yetu sikivu kila ikitaka kumpa nafasi nyengine uyu Zalensky ili kujua undani wake Zalensky !!!! Serikali inataka kumpa Nafasi lkn yeye ataki sasa tutajuaje nia yake kuwatumikia wananchi au Wakala wawa ZUNGU anakwambia anautaka Urais tu sio cheo kingine!!!!! Kaanza na kumlima mtama kakake mzee Mbowe !!!!! Sie yetu macho!!!!!
Sijui huko duniani wanauzaga 👀👀👀👀bidhaa adimu sana kuichezea kwa maslahi ya siasa😂😂😂
 
Marekani lazima atachukua hayo madini zelensiky akijichanganya atauawa
Hawezi kuchukua kwa sababu hayo madini mengi yapo Eastern Ukraine na Russia tayari ameshayachukua hayo maeneo na hatakuja kuyaachia kirahisi. Itabidi Trump wazipige LIVE na Putin na akishinda ndiyo achukue. Kwa sasa Russia wapo vema sana Kijeshi kuliko kipindi Vita inaanza. Wameshaliamsha DUBU la SIBERIA, ngoma imekwisha.

Ila Trump ni kawaida yake kusema hivi na kesho anasema vile. Inabidi tumzoee tu Babu yetu.

1739889538650.png
 
Unaambiwa TRAMP anataka Migodi 50% ww unasema apana ataki !!!!!!! Tumelogwa nanani!!!!!
 
Aache ujinga wake. Akubali kutoa hayo madini ili mambo yaishe. Wakati anapewa yale mabilioni ya dola na silaha za kila aina kutoka kwa huyo Mmarekani na vibaraka wake, alifikiria ni misaada ya bure!!

Marekani hajawahi kutoa misaada ya bure kwa nchi yoyote ile! Kila msaada/mkopo kutoka kwake huwa unaambatana na masharti lukuki yenye maslahi kwake.
 
Cost of Living in Uganda

MarketsEdit
Milk (regular), (1 liter)2,443.37 USh1,500.00-4,000.00
Loaf of Fresh White Bread (500g)4,498.48 USh2,500.00-6,000.00
Rice (white), (1kg)4,876.92 USh4,000.00-6,000.00
Eggs (regular) (12)6,517.19 USh4,800.00-12,000.00
Local Cheese (1kg)16,299.86 USh6,000.00-30,000.00
Chicken Fillets (1kg)17,421.05 USh8,099.04-29,389.29
Beef Round (1kg) (or Equivalent Back Leg Red Meat)15,086.96 USh13,000.00-18,000.00
Apples (1kg)9,902.90 USh5,000.00-15,000.00
Banana (1kg)5,334.21 USh3,000.00-8,099.04
Oranges (1kg)6,756.19 USh3,000.00-15,000.00
Tomato (1kg)5,444.55 USh3,000.00-10,000.00
Potato (1kg)5,186.69 USh2,000.00-10,000.00
Onion (1kg)6,255.12 USh3,000.00-10,000.00
Lettuce (1 head)3,571.43 USh1,500.00-6,000.00
Water (1.5 liter bottle)2,045.45 USh1,500.00-3,000.00
Bottle of Wine (Mid-Range)40,000.00 USh20,000.00-65,000.00
Domestic Beer (0.5 liter bottle)4,205.88 USh3,000.00-5,000.00
Imported Beer (0.33 liter bottle)7,192.31 USh4,000.00-14,694.64
Cigarettes 20 Pack (Marlboro)10,000.00 USh5,000.00-20,000.00

Transportation
Edit
One-way Ticket (Local Transport)3,000.00 USh2,000.00-5,000.00
Monthly Pass (Regular Price)135,000.00 USh0.00-173,913.04
Taxi Start (Normal Tariff)2,500.00 USh2,000.00-10,000.00
Taxi 1km (Normal Tariff)1,000.00 USh1,000.00-3,000.00
Taxi 1hour Waiting (Normal Tariff)15,000.00 USh5,000.00-25,000.00
Gasoline (1 liter)5,302.69 USh5,000.00-6,000.00
Volkswagen Golf 1.4 90 KW Trendline (Or Equivalent New Car)32,500,000.00 USh25,000,000.00-35,000,000.00
Toyota Corolla Sedan 1.6l 97kW Comfort (Or Equivalent New Car)32,900,000.00 USh30,000,000.00-37,500,000.00
Restaurants
Edit
Range
Meal, Inexpensive Restaurant
10,000.00 USh​
5,000.00-15,000.00
Meal for 2 People, Mid-range Restaurant, Three-course
90,000.00 USh​
60,000.00-150,000.00
McMeal at McDonalds (or Equivalent Combo Meal)
33,736.50 USh​
25,000.00-36,736.61
Domestic Beer (0.5 liter draught)
5,000.00 USh​
3,000.00-7,000.00
Imported Beer (0.33 liter bottle)
10,000.00 USh​
7,000.00-15,000.00
Cappuccino (regular)
9,667.94 USh​
6,000.00-15,000.00
Coke/Pepsi (0.33 liter bottle)
1,666.67 USh​
1,000.00-3,000.00
Water (0.33 liter bottle)
1,107.14 USh​
1,000.00-2,000.00




Utilities (Monthly)Edit
Basic (Electricity, Heating, Cooling, Water, Garbage) for 85m2 Apartment151,388.89 USh80,000.00-240,000.00
Mobile Phone Monthly Plan with Calls and 10GB+ Data54,466.67 USh30,000.00-100,000.00
Internet (60 Mbps or More, Unlimited Data, Cable/ADSL)257,777.78 USh120,000.00-500,000.00

Sports And Leisure
Edit
Fitness Club, Monthly Fee for 1 Adult148,750.00 USh75,000.00-240,000.00
Tennis Court Rent (1 Hour on Weekend)19,000.00 USh10,000.00-36,000.00
Cinema, International Release, 1 Seat23,500.00 USh18,000.00-40,000.00

Childcare
Edit
Preschool (or Kindergarten), Full Day, Private, Monthly for 1 Child442,222.22 USh300,000.00-1,000,000.00
International Primary School, Yearly for 1 Child13,375,000.00 USh6,000,000.00-28,000,000.00

Clothing And Shoes
Edit
1 Pair of Jeans (Levis 501 Or Similar)63,000.00 USh30,000.00-80,000.00
1 Summer Dress in a Chain Store (Zara, H&M, ...)48,750.00 USh30,000.00-120,000.00
1 Pair of Nike Running Shoes (Mid-Range)122,222.22 USh70,000.00-200,000.00
1 Pair of Men Leather Business Shoes184,444.44 USh100,000.00-300,000.00

Rent Per Month
Edit
Apartment (1 bedroom) in City Centre1,227,272.73 USh500,000.00-2,543,822.07
Apartment (1 bedroom) Outside of Centre711,538.46 USh400,000.00-1,500,000.00
Apartment (3 bedrooms) in City Centre3,355,555.56 USh1,200,000.00-7,500,000.00
Apartment (3 bedrooms) Outside of Centre1,338,461.54 USh700,000.00-3,000,000.00

Buy Apartment Price
Edit
Price per Square Meter to Buy Apartment in City Centre4,113,880.53 USh3,600,000.00-4,741,641.60
Price per Square Meter to Buy Apartment Outside of Centre3,584,000.00 USh2,720,000.00-3,800,000.00
 
Back
Top Bottom